Dr.Edward Hoseah ataka kuletewa ushahidi mezani,kuhusu rushwa

Dk. Hosea ana kazi kubwa ambayo ni kuelimisha umma kuhusu Rushwa. It seems watu hawajui chochote kuhusu chombo hichi,siri ya mtungi anaijua kata. kaeni chini mfikiri baadae ndo muongee
 
Aliyetoa hizo habar sio zuzu anaakili zake timamu tumeona watu wanajiuzulu hawafwatiliwi!.hizo nafasi zenyewe ni za kubadilishana hakuna mwenye nguvu ya kumwazibu mwenzake na hiyo Taasisi ni kama imepotea wanalipwa majasho yetu bure na hawafanyi chochote.
 
 
 
Poor pcccb...paka asubiriaye kuletewa panya mdomoni...aagh atatuletea pumu tu
 
kilaza huyo amekaa ofisini keshalewa madaraka sasa hafi aletewe yeye kazi yake ni nini???? Kama hawezi si aache kazi ama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…