Dr.Edward Hoseah ataka kuletewa ushahidi mezani,kuhusu rushwa

Dr.Edward Hoseah ataka kuletewa ushahidi mezani,kuhusu rushwa

Dk. Hosea ana kazi kubwa ambayo ni kuelimisha umma kuhusu Rushwa. It seems watu hawajui chochote kuhusu chombo hichi,siri ya mtungi anaijua kata. kaeni chini mfikiri baadae ndo muongee
 
Aliyetoa hizo habar sio zuzu anaakili zake timamu tumeona watu wanajiuzulu hawafwatiliwi!.hizo nafasi zenyewe ni za kubadilishana hakuna mwenye nguvu ya kumwazibu mwenzake na hiyo Taasisi ni kama imepotea wanalipwa majasho yetu bure na hawafanyi chochote.
 
blueray said:
Ni mmoja wa watuhumiwa, hana cha kusema![......mkuu unachokidai inawezekana ndicho,lakini tatizo linakuja kwenye maamuzi.Wananchi tunalalamika vile rushwa imekithiri halmashauri,maofisini na kwenye idara mbalimbali za serikali na sekta binafsi.TAKUKURU hatuna imani nayo,lakini bado tunadhurika na rushwa.Sasa tufanye nini? Maana kusema tu haitoshi kubadili mfumo.
 
wete said:
Aliyetoa hizo habar sio zuzu anaakili zake timamu tumeona watu wanajiuzulu hawafwatiliwi!.hizo nafasi zenyewe ni za kubadilishana hakuna mwenye nguvu ya kumwazibu mwenzake na hiyo Taasisi ni kama imepotea wanalipwa majasho yetu bure na hawafanyi chochote.[>>>Kibaya zaidi wanatuambia sisi wananchi tutoe ushahidi wa tuhuma,huku watu wamejiuzuru ama kuvuliwa madaraka,kwanini wao wasifanye utafiti kama majasusi kisha walete taarifa kama rushwa ipo au haipo?
 
Poor pcccb...paka asubiriaye kuletewa panya mdomoni...aagh atatuletea pumu tu
 
kilaza huyo amekaa ofisini keshalewa madaraka sasa hafi aletewe yeye kazi yake ni nini???? Kama hawezi si aache kazi ama?
 
Back
Top Bottom