Dr Feleshi umewalenga wanasiasa, Prof Juma Mahakamani ni kuchafu zaidi

kesi zingine Prof. Juma ujue tu Mahakama yako ni chafu sana, angalu hata ungewalipa vizuri basi ili waache kukimbiza rushwa kwenye makorido ya Mahakama.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mahakama inatakiwa irudishwe kwa wananchi ili wakaifanyie maamuzi, na wananchi wenyewe ni Bunge la kutunga sheria, Bunge lenyewe sasa.

Bora usuluhishi upigiwe mstari na kusisitizwa
 
Mahakama inatakiwa irudishwe kwa wananchi ili wakaifanyie maamuzi, na wananchi wenyewe ni Bunge la kutunga sheria, Bunge lenyewe sasa.

Bora usuluhishi upigiwe mstari na kusisitizwa
You have said neno aseeee!
 
Muda huu huu Makonda kishamjibu Feleshi kwa namna anavyokereka ati wananchi kwenda kwa Makonda!
 
Hukumu imetoka kuhusu akina Mama 19 waliopo Bungeni lakini mpaka leo hakuna utekelezaji wowote. Sasa R4 ziko wapi.
Rais,WMkuu,na Spika walienda kumjulia hali mama wa kinara wao hospital nani wa kumfunga paka kengele?
 
Feleshi anajua kabisa kuwa ofisi anayosimamia imejiweka kando na HAKI.

Wacha wahuni wapige maokoto kwa kofia ya siasa
 
Juma ye anachojua ni kuhangaika na IT tangu awe CJ ni IT IT IT, non sense
 
Ulivyoanza kujisifu kwa upumbavu uliofanya wa kutokumuhudumia mtoto wako na mama yake inaonesha ni jinsi gani wewe ni mtu wa ovyo asiyefaa katika Jamii Kama huyo Dr. Feleshi unayemsifia lakini ananuka rushwa hatari,jiulize kwanini Rostam alitukana mahakama za Tanzania,Makonda acha apige kazi anajua hayo ni matawi ya ccm kwahiyo kuyapa amri anatekeleza ilani ya Chama Chao Tz hakuna mahakama Kuna Wazee wa Baraza wenye tamaa ya mali
 
Udhaifu wa Mahakama ndio turufu ya Makonda. Hawana maana yoyote
 
Kumbe hata hujaelewa! Nimeongelea kutomhudumia mama, sio mtoto wangu ndugu. Hebu soma vizuri usikurupuke!
 
Feleshi anajua kabisa kuwa ofisi anayosimamia imejiweka kando na HAKI.

Wacha wahuni wapige maokoto kwa kofia ya siasa
Kweli kabisa. Hakuna mwananchi hasiyejuwa haki inapatikana wapi. Shida iliyopo ni kufeli kwa mifumo ya uendeshaji wa serikali ikiwemo hiyo ya utoaji wa haki (mahakama, ofisi ya DPP na ya mwanasheria mkuu). Hicho alichokiomba ni kuongeza mzigo tu kwa wananchi kwa kupanua wigo wa upigaji wa maokoto.
 
Waliahaanza kutemper na TISS ndo wakaharibu mfumo mzima wa utawala wa sheria...

Kisheria TISS hawaruhusiwi kufanya ukamataji au oparesheni yeyote, lakini sheria imewapa kinga ya kutoshtakiwa wakiua wakati wa ukamataji.......

Wasidhani sisi raia ni mambumbumbu kivile
 
Kuna watu wakiwa nyuma ya mic hujiona wao ndio wenye akili kuliko wasikilizaji.
Yaani nuzi Feleshi jaji, kaongea jvoro sana.
Maana hata yeye ni tatizo katika mhimili wa kutla haki.
Akishindwa hoja na mawamili yeye hucbukua hagua za kuwafungia leseni zao.
Kama dasa yetu Fatma hata baada ya mahakama kuona hana hatia bado Feleshi amezuia leseni yake.
Mwambukusi alinitolea kjhusu DP World Feleshi ana taka asimamishwe.
Majaji kama hawa ni kesi ngapi ali amua kwa utashi wake.
Atuache tuwaseme mahakama kwenye chama. Maana mahakama ina nuka.
 
Makonda hawezi kutengua amri ya mahakama period.
makonda akamuulize sabaya, ndio atajua mahakama sio ya kuiendea kipumbavu kama alivyo, huo ni mhimili usio wa kisiasa. ccm wanajiaibisha sana kuwa na mtu kama bashite.
 
Tanzania hakuna mahakama bali majengo yenye nembo na jina mahakama.Ni mpumbavu ndo atakuwa na imani na mahakama.
Rostam Aziz alisema ukweli mchungu kuhusu mahakama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…