Dr. Hamisi Kigwangalla aibua upya mjadala wa uwekezaji wa Mo Dewji. Ni wapi Anakosea?

Dr. Hamisi Kigwangalla aibua upya mjadala wa uwekezaji wa Mo Dewji. Ni wapi Anakosea?

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Shabiki mwenye uchungu mkubwa na timu ya SimbaSC Tanzania Dr. Hamisi Kigwangalla amejikuta akipata Maumivu makali kwa timu yake pendwa kutolewa kwenye kombe la ASFC na Mabingwa wa kihistoria wa Ligi KUU Tanzania bara.

Maumivu yaliyompelekea hata kurudi mitandaoni na kuhoji namna ambayo Klabu iyo inaendeshwa.

Baada ya kutoa maoni yake baadhi ya wachambuzi, mashabiki na viongozi wakubwa wa ndani ya klabu wakaanza kumtumia jumbe za matusi na kebehi.

Je ni wapi Dr. Hamisi Kigwangalla anapokosea kwa kuhoji?

IMG_0294.jpg

IMG_0295.jpg

IMG_0296.jpg
 
Shabiki mwenye uchungu mkubwa na timu ya SimbaSCTanzania Dr. Hamisi Kigwangalla amejokuta akipata Maumivu makali kwa timu yake pendwa kutolewa kwenye kombe la ASFC na Mabingwa wa kihistoria wa LigiKUU Tanzania bara.

Maumivu yaliyompelekea hata kurudi mitandaoni na kuhoji namna ambayo Klabu iyo inaendeshwa.

Baada ya kutoa maoni yake baadhi ya wachambuzi, mashabiki na viongozi wakubwa wa ndani ya klabu wakaanza kumtumia jumbe za matusi na kebehi.

Je ni wapi Dr. Hamisi Kigwangalla anapokosea kwa kuhoji?

View attachment 2242638
View attachment 2242639
View attachment 2242640
Bichwa limejaa uji, kama anataka majibu ascan hiyo hundi atapata info zote.
 
Ukiacha maujinga na kurupukaji wake... Hapa ana hoja
Sioni hoja hapo zaidi ya chuki na interests zake binafsi kuhusu anachokioji... Mimi chakumshauri ni kwamba atulie tuli kama alivyokuwa ametulia awali...ukitaka kupigwa mawe na mashabiki wa timu hizi mbili kubwa mguse GSM au MO.... Kelele zake hazitasaidia lolote zaidi ya kuendelea kujishushia heshima,
 
Tunahitaji wachezaji watakaoweza kuipambania timu, hilo ndiyo la muhimu.

Haya mengine ni majungu na hasira za kunyimwa mkopo.
 
Kwa hapa ana hoja ya msingi. Ila tatizo halitokani na hoja yake.
Tatizo la Team ni poor management. Daaaah
 
sioni hoja hapo zaidi ya chuki na interests zake binafsi kuhusu anachokioji...mm chakumshauri ni kwamba atulie tuli kama alivyokuwa ametulia awali...ukitaka kupigwa mawe na mashabiki wa timu hizi mbili kubwa mguse GSM au MO.... Kelele zake hazitasaidia lolote zaidi ya kuendelea kujishushia heshima,

Tatizo leno ni kutojitambua kuwa hao mnaowaita wawekezaji wanatumia uzuzu wenu kwa faida zao wenyewe!! Nyinyi maishani mwenu mtabakia washangiliaji tu!! Fungueni akili acheni upumbavu huo!! Hiyo mnayodanganywa cheki ni ya benki gani hapa nchini? Jibuni maswali msilete matusi mimi sio size yenu!!!

Nakumbuka wakati marehemu David Ngonya [ Gorbachev] akiwa Katibu mkuu wa klabu hiyo kulikuwa hakuna ujinga wa wawekezaji kuchezea hiyo club!
 
Shabiki mwenye uchungu mkubwa na timu ya SimbaSCTanzania Dr. Hamisi Kigwangalla amejokuta akipata Maumivu makali kwa timu yake pendwa kutolewa kwenye kombe la ASFC na Mabingwa wa kihistoria wa LigiKUU Tanzania bara.

Maumivu yaliyompelekea hata kurudi mitandaoni na kuhoji namna ambayo Klabu iyo inaendeshwa.

Baada ya kutoa maoni yake baadhi ya wachambuzi, mashabiki na viongozi wakubwa wa ndani ya klabu wakaanza kumtumia jumbe za matusi na kebehi.

Je ni wapi Dr. Hamisi Kigwangalla anapokosea kwa kuhoji?

View attachment 2242638
View attachment 2242639
View attachment 2242640
Kigwangala ni mwanachama wa Simba? Anachangia club? Kama majibu ni hapana basi hana haki ya kuhoji
 
Back
Top Bottom