Dr. Hamisi Kigwangalla aibua upya mjadala wa uwekezaji wa Mo Dewji. Ni wapi Anakosea?

Dr. Hamisi Kigwangalla aibua upya mjadala wa uwekezaji wa Mo Dewji. Ni wapi Anakosea?

Kama sio hela unasajiri vipi wachezaje wapya pasipo kuwa na fungu, Mo ana shida ameisaidia club lakini ana upotoshaji sana na ameshatuona maboya hatuwezi hoji kitu tupo tupo tu machawa
Kigwangala na mo wanatuchezea mind game tu kutuondoa tusiongelee wachezaji vibaya wakapoteza morali tukaeni tufikirie
 
Shabiki mwenye uchungu mkubwa na timu ya SimbaSC Tanzania Dr. Hamisi Kigwangalla amejikuta akipata Maumivu makali kwa timu yake pendwa kutolewa kwenye kombe la ASFC na Mabingwa wa kihistoria wa Ligi KUU Tanzania bara.

Maumivu yaliyompelekea hata kurudi mitandaoni na kuhoji namna ambayo Klabu iyo inaendeshwa.

Baada ya kutoa maoni yake baadhi ya wachambuzi, mashabiki na viongozi wakubwa wa ndani ya klabu wakaanza kumtumia jumbe za matusi na kebehi.

Je ni wapi Dr. Hamisi Kigwangalla anapokosea kwa kuhoji?

View attachment 2242638
View attachment 2242639
View attachment 2242640
.
FB_IMG_1611660294488.jpg
 
Back
Top Bottom