Kwani kahoji mafanikio au kahoji uwekezajiKigwangala aache unafiki . Hakuna timu yoyote hapa duniani ambayo imewahi kuwa kwenye mafanikio muda wote .
Ana hoja kubwa sana, kesho awatafute Mzee Kilomoni na Bi Hindu ili Jumatatu wafanye press conference.Ukiacha maujinga na kurupukaji wake... Hapa ana hoja
Bichwa limejaa uji, kama anataka majibu ascan hiyo hundi atapata info zote.Shabiki mwenye uchungu mkubwa na timu ya SimbaSCTanzania Dr. Hamisi Kigwangalla amejokuta akipata Maumivu makali kwa timu yake pendwa kutolewa kwenye kombe la ASFC na Mabingwa wa kihistoria wa LigiKUU Tanzania bara.
Maumivu yaliyompelekea hata kurudi mitandaoni na kuhoji namna ambayo Klabu iyo inaendeshwa.
Baada ya kutoa maoni yake baadhi ya wachambuzi, mashabiki na viongozi wakubwa wa ndani ya klabu wakaanza kumtumia jumbe za matusi na kebehi.
Je ni wapi Dr. Hamisi Kigwangalla anapokosea kwa kuhoji?
View attachment 2242638
View attachment 2242639
View attachment 2242640
Sioni hoja hapo zaidi ya chuki na interests zake binafsi kuhusu anachokioji... Mimi chakumshauri ni kwamba atulie tuli kama alivyokuwa ametulia awali...ukitaka kupigwa mawe na mashabiki wa timu hizi mbili kubwa mguse GSM au MO.... Kelele zake hazitasaidia lolote zaidi ya kuendelea kujishushia heshima,Ukiacha maujinga na kurupukaji wake... Hapa ana hoja
Hivi mmesoma kitabu chake cha kigwanomicsMgonjwa wa akili huyo
Ukiacha maujinga na kurupukaji wake... Hapa ana hoja
Hivi mlimtimua nani..hadi mkamweka babraKwa hapa ana hoja ya msingi. Ila tatizo halitokan na hoja yake.
Tatizo la Team ni poor management. Daaaah
sioni hoja hapo zaidi ya chuki na interests zake binafsi kuhusu anachokioji...mm chakumshauri ni kwamba atulie tuli kama alivyokuwa ametulia awali...ukitaka kupigwa mawe na mashabiki wa timu hizi mbili kubwa mguse GSM au MO.... Kelele zake hazitasaidia lolote zaidi ya kuendelea kujishushia heshima,
Mmmmmh wee nae. LolHivi mlimtimua nani..hadi mkamweka babra
Kigwangala ni mwanachama wa Simba? Anachangia club? Kama majibu ni hapana basi hana haki ya kuhojiShabiki mwenye uchungu mkubwa na timu ya SimbaSCTanzania Dr. Hamisi Kigwangalla amejokuta akipata Maumivu makali kwa timu yake pendwa kutolewa kwenye kombe la ASFC na Mabingwa wa kihistoria wa LigiKUU Tanzania bara.
Maumivu yaliyompelekea hata kurudi mitandaoni na kuhoji namna ambayo Klabu iyo inaendeshwa.
Baada ya kutoa maoni yake baadhi ya wachambuzi, mashabiki na viongozi wakubwa wa ndani ya klabu wakaanza kumtumia jumbe za matusi na kebehi.
Je ni wapi Dr. Hamisi Kigwangalla anapokosea kwa kuhoji?
View attachment 2242638
View attachment 2242639
View attachment 2242640