Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
Naona mpo kwenye boat moja mnaelekea Australia...😀
hili jamaa i usually read his articles TZUK.net. grammar yake,puts more questions in my head then answers.well anyway it could be me who has problems
Naona mpo kwenye boat moja mnaelekea Australia...😀
Nimefanya Google search. Nimepata hits kadhaa kuhusu mtajwa. Bofya hapa
Dr. Shayo, All I can say don't argue with a fool because no one will notice a difference🙂
Thanks kwa uhuru wa vyombo vya habari na maendelevu ya technologia kama kuwepo kwa blog zisokuwa moderated kunawapa nafasi watu wasio na nia nzuri, wenye chuki binafsi kutoa mawazo/maoni yao yenye mlengo wa nyuma, na mawazo/maoni hayo kusomwa na watu wengi.
Watanzania tuamke - tu discuss important matters tuache masihala.
nauliza usomi wa mtu ni nini? kingereza kama cha Pundit(kigumu) au material anayomwaga?
nauliza usomi wa mtu ni nini? kingereza kama cha Pundit(kigumu) au material anayomwaga?
Tatizo la muanzisha mada ni lipi? Dr. Shayo ni msomi aliyebobea katika masuala ya maendeleo na Uchumi, Sijui huko UK lkn alipokuwa UD undergraduate alikuwa kipanga sana. Nafikiri watu wasilete chuki binafsi hapa na kupakazana. The guy is brilliant.
Tukubali ama tusikubali Material matters. Kwa wale ambao kipindi cha kama miaka 4 iliyopita ambao walikuwa kwenye sekta ya utalii watakuwa mashahidi. English amabayo hawa tuwaitao tour guides waliyokuwa wanaongea, ni balaa tupu. Kwa mwelewa wa lugha hii na bahati mbaya ukawa ni mtanzania basi utavunjika mbavu! mfano unaweza msikia mtu akijitambulisha kwa mgeni (naomba maguides mnisamehe) "Your may name is Juma and you?" ama anamwambia mgeni " this is elephant toilet" unashangaa ana maana gani huyu! lakini kwa wenzetu wazungu hawako kwenye grammer tunazosema sisi bali wamelenga zaidi kuwa unataka kusema nini hapa. Then wanapata wakitakacho wanaendela mbele. Hata wao wageni huwa wanakosea tu kiswahili chetu. Wakati fulani niliwahi kuwaambia watu fulani kuwa wanajua kiingereza sana ila wana uoga wa kukiongea ndio maana wanakuwa bubu. Walipoanza kuvunjavunja hiyo lugha sasa wanaongea as if wako kwa malkia. Pia kuna tofauti ya kiinglishi cha kuandika na kuongea. Hata kiswahili, tulipokuwa huko kijijini tulikuwa tunawahara sana waliotoka mjini kuwa wanajua kiswahili, lakini njoo kwenye kuandika hicho kiswahili! Hawakuwa wanaona ndani, tuliwaacha mbali sana. Final MATERIAL MATTER THAN ALL THAT BOMBASTIC AND GRAMMER THAT WE ARE TALKING ABOUT.
Nionavyo mimi.
Umeshapata wasifu wake?Huyu jamaa anajiita DR sasa sijajua udokta wake na kama wa MPONJOLI au RWAKATARE
wajomba tunaomba wasifu wake
Kuna article yake mooja alindika kule Michuzi imejaa madudu kibao na nadhani kuna umuhimu wa kuumulika JF style