Dr. Hildebrand Shayo

GT,
Some people have issues. This guy is trying, and working hard. What have you shown or published out there. Let us see it. It is very easy to criticise others, especially when they have produced something. I read his article, and it was not argued all that well, but still you can see what he was trying to say.
 
GT,
Jawabu la swali lako ni hili hapa. <- Click hapo, halafu fungua list hiyo ya wanachama wa International Development Envirornment and Refugee Research Group hapo London South Banbk University; utakuta jina unalotafuta ni la nane.

Watu wengine, kama mimi, wana matatizo ya kutaipu moja kwa moja online, kwa mfano hata ninapoandika kiswahili online, huwa nakuwa na makosa mengi sana hadi pale nikisoma post yangu tena ndipo ninapogundua makosa hayo na kama nina uwezo wa kuyarekbisha basi huyarekebisha, na kama niliandika kwenye blogs za watu basi huwa siwezi kuyarekebisha tena na yanabaki huko moja kwa moja. Naamini kuwa itakuwa ni makosa sana mtu kudhani kuwa mimi si msomi eti kwa ajili ya makosa ya aina hiyo tu; nadhani substance ndiyo ya muhimu zaidi.
 
KICHUGUU,no one has doubted Dr H Shayo academic merits,what we are emphasising is,on attainment of that level and one who constantly interacts with students either by the written or spoken word,half baked grammer raises grounds for concern of one's qualifications.
 
Je issue hapa ni systematic poor grammar, au random grammatical mistakes? Mimi sijawahi kusoma makala zake.
 
KICHUGUU,words fail me,but it could be bordering on systematic poor grammer,for reading his articles,you could not in a million times,guess that the writer is a honourable learned person.
 
Ndugu wana Jamiiforum
Baada ya kuombwa na wanajamii kutafuta wasifu wa Dr. hildebrand Shayo niligundua kuwa huyu jamaa amekwenda shule kweli kweli na siyo mchezo. ninaweza kuwahakikishieni kuwa hiyo issue ya grammer ambayo baadhi yenu wamefanya kama ni kigezo ni kitu cha kawaida katika uandishi, kwani lugha ya kiingereza siyo yetu. Hata waingereza ukiwaambia waandike kiswahili sanifu watakosea tu.

Ila utafiti wangu umegundua haya yafuatayo:
Shule: Huyu jamaa alisoma shule moja huko kilimajaro inaitwa Kisuluni pr. Sch.
Secondary O level Shule ilikuwa kilimajaro na alipata Div. 1 ya point 9
secondary A level Shule morogoro alipata Div 1 point 5
Jeshini alikuwa Oljoro Programme ya chama na alikuwa F coy
Chuo kikuu cha dar es salaam alisoma uchumi
Chuo kikuu MA dar es salaam alisoma Dev. Studies
PhD Kule UK chuo kinachoitwa LSBU
Adv. Diploma GIS geographyical information system/planning pale
Canterbury University UK
Diploma Dilomancy and bilateral negotiation The Netherlands

Kazi: Aliwahi kufanya kazi ofisi ya waziri mkuu pale magogoni
Aliwahi kufanya kazi PCB uhakika muulizeni Hosea director wa PCB
Aliwahi kufanya kazi nyerere foundation kumsaidia Mwal. Nyerere
wakati wa kuwapatanisha waburudi kule arusha
Aliwahi kufundisha pale chuo kikuu IDS
chuo cha ardhi
Muhimbili
Chuo cha maofisa wa jeshi pale Kurasini
Kairuki University
Kwa sasa ni mwalimu huko UK

Chama: huyu jamaa ni mwana UVCCM card number 351008 ilitolewa Moshi 1982
CCM card number 803546 ilitolea Oljoro Arusha
KWA KIFUPI NI MWANA CCM!
Kutoka Bank niligundua anaccount CRDB
NMB tawi la mlimani chuo kikuu
Huyu jamaa ni resource person wa UN organisations, WB, SECO na mashirika mengine ya kimataifa kama BBC UK, Radio ya kiswahili Ujerumani nk.

Dini ni Mkristu na ni mseminaryna ni mtu wa familia!

Kutoka mambo ya ndani Tanzania, utafiti unaonyesha aliwahi kupata pasi ya kusafiria number A01291!! PASI IMEJAA, ALIPEWA PASI NYINGINE A00276!! NA record za hivi majuzi mwezi wa 9/2008 pale dar airport inaonyesha kuwa alipita akiwa na hii pasi mpya AB 0!64!!

mchango wake kwa jamii unaonyesha kuwa ameitembelea mikoa yote ya Tanzania katika nyakati tofauti kati ya 1997-1999. Niliwahi kukutana naye Mbekenyela na Likombe katika shughuli zake za utafiti! Ukitaka kujua ni utafiti wa namna gani basi niwaelezeni next time!!!!

NDUGU WANA JAMII FORUM, siyo kuwa ni kazi yangu kutumia gharama, muda, na kupiga simu huku na kule kutafuta data kama hizi, ila nilitaka tu kwajulisheni huyu jamaa yuko mbali na achaneni naye kabisha??????????????????
Ningewashauri nyie ambao hamna topic za maana muache hizo tabia zenu za kumlinganisha mtu kama huyu na yule mwizi wa magari Mponjoli!
ninafull biography ya huyu jamaa kwani tukiwa oljoro mimi nilikatwa bogi nikapelekwa Makuyuni na yeye akabakia Oljoro. I know him very well.
kama kuna mwana jamii forum ambaye anataka kupingana na detail hizi basi huyu atakuwa mwendawazimu.

Mimi nindahani kama angekuwa ni mtoto wa "kigogo" basi ungekuta sasa hivi ni mtu mwnye .........
huyu ni mtoto wa mkulima na amefika hapo alipo kwa JITIHADA ZAKE



Ndugu wanajamii naomba kuwakilisha HOJA!

Hi nyie wanadamu! hanma haya? huyu jamaa alisom Apostle of Jesus Seminary...na mtakumbuka miaka hiyo ilikuwa shule ya kwanza akiiburuza St James na Maua Seminary nimeomba nilitewe number ya shule zote mbili na za mitihani yake kwa uhakiki lakini ni mpaka jumatatu nitakupeni jibu kamili! bongo saa hizi wako kwenye vikontena!

A level alisoma St Peter's Seminary kwa wale wanaokumbuka ilikuwa inaiburuza kilagala girls! It was one of top secondary school in Tanzania!
kulikuwepo na Mwalimu wa Economics alikuwa anaiywa Mwaisondola na mwalimu wa history alikuwa anaitwa Mshiu na rector alikuwa nanaitwa Father Kizee mpo hapo?

Kuja mwanajamii amesema tunaingilia privancy ya mtu kwani kuna siri gani kama wewe siyo FISADI unaogopa nini? Mliomba mpewe data, nimewapa data sasa mnagopa nini?

Kuna jamaa mmoja kanitumia text kwenye simu anauliza hivi yeye ni mtundu wa computer na mara nyingi huwa anapenda kujua watu. anapendekeza kwa wanajaii forum kumgoogle dr.shayo kwani watapata mchango wake kwa jamii siyo ya kitanzania tu bali duniani.

if you want more details on Shayo ask the following: Dr. Nchimbi, Dr. Siril Chami
 
Last edited:

KARIBU JAMVINI DR.HILDEBRAND SHAYO, HASWA HUYU SI MWINGINE NI WEWE

Personal details zako ulizotoa tunazifanyia kazi na kuona kama ni kweli hukufanya forgery yoyote
 
kawawa,naona ndio kwanza umejiunga na jamii,well thats good,anyway one plus one is two.ingekuwa advisable ungeingia na grammar humu hili tu prove a point.trust me we would have skinned you alive
 


Kawawa,

Asante kwa muda wako kumfatilia huyu jamaa na kutuhabarisha. Its a bit dodge kwenye shule alizosoma KIlimanjaro? na Morogoro tupe majina. Ila kama ni shule ameipiga lugha ni tatizo la taifa, ukizingatia amesomea shule za akina Kayumba.

Swali la kizushi, unauhusiano na Rashidi I mean yule aliyekuwa actor na baadaye makamu mwenyekiti wa CCM ama jina lingine Simba wa vita?

Ushi
 
Kawawa ni kweli kabisa, huyo uliyemuelezea ndio Dr. Hildebrand ninayemjua mimi toka UDSM. Ni msomi, mtafiti aliyebobea, mchapa kazi, muungwana, mcheshi... Kiingereza nadhani kwa wengi ni lugha ama ya pili au ya tatu, hivyo kufanya makosa ktk lugha hiyo kwa wengi hakukwepeki.
 
Hapo juu kuna violation of privacy na possible abuse of office.Huwezi kuweka nambari za pasi za mtu wazi kama hivi.
 






kawawa Profile


kawawa has no status.


Junior Member


Last Activity: Today 09:51 PM


Total Posts: 1

Posts Per Day: 1



Find all threads started by kawawa 0


Join Date: 5th December 2008






Jf Kiboko sasa bado tunaendelea kusevu kazi zako zote ulizozipost online kisha tutaanza kukuanika.

Mind you kuna ma critics wako stand by wanasubiri kuwa activated tuuu bas...usilie lakini maana mwenyewe ndio ulitaka ATTENTION na sisi tunakupa hiyo attention


Hujatuambia thesis yako ilikuwa ni ya nini

Unaishi UK kwa status gani

Na kama umefanya kazi PCB na HOSEA je unaweza kutuambia how clean you are considering HOSEA wa PCB does not have many fans humu JF

Umesema wewe ni mcha mungu na Mkristo safi je watu wakionyesha contrary utakaaa?
 
Last edited:
Wanajamii nyie mnaopenda chokochoko na mambo ya watu, jaribuni kuwa na Busara. Ushauri Nendeni shule na jifunzeni ni kwa namna gani mtajiendeleza na kuisaidia Tanzania na siyo kuleta mambo ya kitchen party hapa.

Huu mtandao ni kujadili mambo ya maana na siyo ya kipumbavu.

Pamoja na ukweli kuwa internet ni slow hapa bongo, nimefankiwa kusoma kaarticle alikoandika huyu jamaa siku za nyuma. Je sijui na hapa mtasema nini!

Je? mliwahi kusoma mchango wa huyu dr shayo kuhusu Tanzania inavyoibiwa?...Stop Biopirancy? kilichochapishawa na Tanzania Affairs journal?
Je?mmesoma mchango wake ambao ulikubaliwa na aliyekuwa PM Tony Blair wa UK alipounda tume ya commission for Africa? ambayo Raisi Mkapa alikuwa Mjumbe toka Africa? Jamani ACHENI MAJUNGU.
MNAKUWA KAMA WANASIMBA NA WANAYANGA. Kuweni wabunifu wa mambo, anaglieni mtakuja sutwa na zecomedy! shauri yenu. MIMI SIPO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!


soma....
Stop Biopirancy?
Using the properties of plants from Tanzania, companies in the western world are making huge profits while giving nothing to the local people. An example is the &#8216;Busy Lizzie' or impatiens usambarensis, one of the most popular plants among British gardeners, providing instant colour in even the most challenging flower beds. It is native to East Africa; its centre of origin is in the Usambara mountains.

The launch of a strain of &#8216;trailing' Busy Lizzie by the multinational biotech giant Syngenta is a classic example of &#8216;biopiracy', the term being increasingly used by environmental groups to portray a new form of &#8216;colonial looting' where Western corporations reap large profits by taking out copyrights on indigenous materials from developing countries and turning them into, for example, medicines or cosmetics. In very few cases are any of the financial benefits shared with the country of origin. Usambarensis make excellent hanging basket displays, a demand which feeds a lucrative market for the horticultural industry in the western world.
Launching the Busy Lizzie with a fanfare, the company claimed that &#8216;after many years of research' it had produced a plant that &#8216;can achieve, at maturity, trails including up to 70cm masses of large flowers throughout the summer until the first frost'. The plant retails at from £2 for a single small potted plant to over £10 for a hanging basket. In the US the impatiens usambarensis market is worth $148 million a year.

Despite admitting that such hybrids happened naturally in Tanzania, Syngenta claimed the new plant was its &#8216;invention' and the British authorities granted the company exclusive rights. Syngenta has applied for copyright in Europe and the US claiming that all trailing growth in crosses of usambarensis are its property including all plants, sexually or asexually produced, seeds, ovules, embryos and pollen. The copyright reveals that Syngenta obtained the seeds of the Tanzanian plant from the Royal Botanical Gardens in Edinburgh that had cultivated them &#8216;from a wild collection from Tanzania'. The seeds were from the Royal Botanical Gardens at Kew collected in 1982.

I reviewed the relevant Syngenta sources in search of information about how Tanzania might have benefited over the years. The only mention I found concerned a contribution of a portion of its profits from impatiens to a British hospice for ill children. Nothing at all to Tanzania's poor people. More interestingly, there is nothing to suggest or explain how the application to own the copyright of a plant originating in Tanzania was acquired without Tanzania being involved.

I am of the view that this is a classic case of biopiracy that responsible authorities in Tanzania need to look into. To date there are more than 30 examples of western medical, horticultural and cosmetic products alleged to have been &#8216;pirated' from Africa. An analysis of these copyrights reveals that impatiens usambarensis is one of seven granted by the UK authorities without involving Tanzania.

Even though the development of such products is widely hailed and the companies involved deny the accusations of biopiracy, there is a need to be aware of the fact that it is no longer acceptable to trawl across other countries taking what you want for your own commercial benefit. As there are internationally recognised rights for oil, so there should be for indigenous plants, resources such as tanzanite and knowledge. To Tanzania this biopiracy can be described as &#8216;a silent disease', it is hardly detectable, it frequently does not leave traces. Regrettably, such issues do not attract the same media coverage or public outcry as other environmental problems, such as deforestation, pollutant emissions and the threat of global warming.

A few years ago a British drug firm known as Phytopharm patented an active ingredient in a plant called hoodia found in some parts of Tanzania. This is a cactus-like plant that is used by the Hadzape people in Singida to ward off hunger before hunting trips. Phytopharm linked with Unilever are developing this as a diet drug to curb the obesity problem which is said to claim about 30,000 lives every year in the UK. Unilever has agreed to pay up to £21m to Phytopharm.

Some form of benefit sharing is what is needed. I would like to challenge Tanzanian lawyers to forge a benefit-sharing agreement that would see the local people getting a small share of any profits. It is not just in the world of medicine and horticulture but also in fashion that there is a debate over biopiracy. In 2004 British university scientists working with a US firm copyrighted bacteria that are found only in the caustic Lake Natron Rift Valley in Tanzania. When jeans are washed with a chemical made up of the microbes, an enzyme is produced that &#8216;eats' the indigo dye, giving them a naturally faded look. The company making this product makes more than $1million a year in sales of this detergent to textile firms.

Entering into a benefit-sharing agreement is the only way forward. In the case of impatiens usambarensis there are unanswered questions. For example who would Syngenta share the benefits with? The Royal Botanical Gardens in Edinburgh where it got the seeds? Or The Royal Botanical Gardens at Kew where the seeds had come from previously? Or The Tanzanian government - Tanzania being the only country on the planet where the plant with the trailing characteristic is found? Or a local community in Tanzania?

The International Convention on Biological Diversity that promised to recognise property rights was signed in 1994. This agreement did not prohibit the collection of indigenous material but it did recommend that agreements should be reached to share any commercial benefit that later emerges.

Hildebrand Shayo

Haya anaglieni watu wenye akili na busara zao duniani wanavyochangia hoja na siyo mambo ya kipumbavu na ya kijinga mnayotaka kuteta hapa

soma....

This is an aside titled 'Biopiracy' dated 5/25/08
Wired's feature on Marc van Roosmalen, facing prison time for biopiracy, is one of the most fascinating articles I've read in a while (unfortunately, it's overshadowed by the controversial cover story.) When I first heard about biopiracy, I believed it might be one of the few areas where intellectual property is actually fair, so long as it's granted to the country of origin. But reading how it is enforced in the Brazil gave me second thoughts. Richard Stallman (of course) has some things to say about the need to free all plant life from patents.

Posted by Joanne on May. 25, 2008
 
Last edited:
kawawa,naona ndio kwanza umejiunga na jamii,well thats good,anyway one plus one is two.ingekuwa advisable ungeingia na grammar humu hili tu prove a point.trust me we would have skinned you alive
 
Game theory ninafuatilia detail zako. mpaka sasa ninataarifa kuwa wewe ni mtu wa namna gani. nikikamilisha uchunguzi nitakuambieni. Game theory unashindwa kutofautisha mwizi wa magari mponjoli na mtu aliyekwenda shule. Aibu kaka


was asking myself...at what time will my subject emerge...Thank God mwenyewe umeingi a na hakuna aliyekulazimisha



sasa nadhani unajua kama weekend ndio imeanza leo...
 
Last edited:
was asking myself...at what time will my subject emerge...Thank God mwenyewe umeingi a na hakuna aliyekulazimisha]



sasa nadhani unajua kama weekend ndio imeanza leo...

Basi jama, dawa ya Dr. Shayo ni Mwanaharakati Mjomba J. Mashaka. Jamaa alimshushua Dr. Shayo vibaya sana katika ziku za hapo nyuma. Hii iliusiana na maswala ya kiuchumi.

Anyway, lakini hata hivyo Shayo pia ni kichwa, kama huyo mwanahrakati
 
Swali la GT lilikuwa hili

Huyu jamaa anajiita DR sasa sijajua udokta wake na kama wa MPONJOLI au RWAKATARE

wajomba tunaomba wasifu wake

Kuna article yake mooja alindika kule Michuzi imejaa madudu kibao na nadhani kuna umuhimu wa kuumulika JF style

Nadhani majibu ya msingi yamepatikana.Kwamba
1.Jamaa ni PhD holder na lecturer wa South Bank University.Kwa wanaofahamu ugumu na reputations za PhD za Uingereza wanajua huyu jamaa yuko category gani.Kwahiyo jibu la part ya kwanza ya swali,huyu mtu HAJIITI DR bali alitunukiwa Doctorate of Philosophy,hence the title Dr.
2.That also answers the questions as to whether his doctorate is Mponjoli,et al -style.
3.Wasifu wake umeshaelezwa,lakini kuna kitu cha zaidi kilichoni-impress nacho ni hiki

Nadhani hilo linajieleza.
4.GT hakuweka makala inayodaiwa kuwa na madudu kibao.Sasa baada ya kupata majibu ya authenticity ya udaktari wake,labda tuanze kujadili post hii niliyoi-extract kwenye blog ya Michuzi.I hope GT utatusaidia sio tu kuonyesha madudu bali kuja na KILICHO BORA ZAIDI.Hii hapa


KAZI KWENU WAJUZI WA MAMBO
 
Basi jama, dawa ya Dr. Shayo ni Mwanaharakati Mjomba J. Mashaka. Jamaa alimshushua Dr. Shayo vibaya sana katika ziku za hapo nyuma. Hii iliusiana na maswala ya kiuchumi.

Anyway, lakini hata hivyo Shayo pia ni kichwa, kama huyo mwanahrakati

ahhh wewe mbona unampre empt JOHN MASHAKA ? huyo naye tulishamweka online for next week

lakini weekend hii huyu so called Dr tutamchambua vizuuuri then tutajua kama ni PUMBA au ndio udokta wa akina RWAKATARE?
 

Mbona unataka kuleta yasiyokuwemo?


Halafu Wewe mbona hupokei simu?

anyway kama nilivyosema the Jury is still out

halafu ukitaka tuweke critique zetu basi ondoa hayo maandishi mekundu yaniumiza macho
 
Hapo juu kuna violation of privacy na possible abuse of office.Huwezi kuweka nambari za pasi za mtu wazi kama hivi.

kaweka mwenyewe sasa na sisi tayari tushaisevu hiyo pp no yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…