Dr. Hildebrand Shayo

Mheshimiwa Mkumbo,

Heshima zako!

Katika kuchangia hoja I am persuaded to think that this mate could be having so sort of a personal vendetta against Dr Shayo. Alot of comments about the LAD are first of all unfair and at worst uncivilized. If you want to critic somebody, the best way is to go after the reason of your criticism, the said Articles. It defies logic that LSBU with all its reputation can not tell that Dr Shayo is has a bogus CV, leave alone the PHd which is just one aspect out of a number of other criterion that might have been used to hire his services at the institution.

I would be one of those that would like to offer my solid support to Dr Shayo.

Shida ya baadhi ya WaTz wivu huwafanya wakawa tayari kumponda mzalendo lakini watamsujudia carer mzungu anapofika bogno na kujifanya mtaalam. Uhmmm! Hivi tutafika kweli?
 
Kitila, najua unafanya PhD so imekugusa. Samahani kama nimekukashifu. Ila mimi nina imani zangu nini naita PhD. Lets agree to be different. Mimi niko opiniated na siogopi kuwa na mawazo tofauti na majority. Tatizo waTanzania tuna tabia ya kuogopa kuwa honest. Ukisema ukweli unaonekana unajisikia au unadharau. I dare to speak the truth as I see it bluntly. I will never ass-kiss. If as people we dared to be different, we wouldnt be in the mess we are in as a country or continent. Mimi sio kondoo, I follow the path I believe in. Waafrika hatuendelei kwasababu we dont dare, we follow kama kondoo. Zimbabwe mfano mzuri. Jamaa mmoja tu anakalisha njaa nchi nzima. Viongozi wa kiafrika wanamwogopa. Hata mtu mmoja wa kiZimbabwe anashindwa kujitoa muhanga. Kazi kusubiri wazungu watatue matatizo yetu. Wewe Mpendakwao ni hypocrite pia, wewe unasema nasujudia mzungu wakati nchi yako inategemea majority ya budget kutoka kwa wazungu. So wazungu are ok only when you need them eti? They can make you and break you (ask Mugabe and all african dictators).So next time ukiona mzungu mbusu, maana hela ya kodi zao inakutengenezea barabara kwenu au mradi wa maji.

Kwenye jukwaa la siasa mnawaponda wanasiasa wenye 'Dr.' za miezi kadhaa na vyeti vya online. You are being a hypocrite. Kama mwanasiasa, ana experience ya kufanya kazi fulani, akachukua experience yake hiyo na kuandika thesis ya chapchap na kupata PhD, in tofauti gani na mtu aliye-spend 3-4 years kuandika thesis ya kuhusu issue ya Tanzania? We kubali tutofautiane. Kuna thesis zingine kwakweli mi sioni muhimu wake. Mnavyowakandya wanasiasa 'vihiyo', pia mnakandya academic institutions.

Sasa, naomba uwasiliane na TZUK ushushe article zote hapa, unedited, nianze kuzichambua. And I mean all of them. If it takes a year. I will do it. Nina mambo mengine muhimu ya kufanya, so nikipuuzia kujibu ujue sina time na kitu ninacho-consider ni utumbo! Hii sio dharau, ni fact kwamba kuna vitu vingine naona utumbo, wengine wanaona matawi ya juu. Kuna vingine naweza ona matawi ya juu, mwingine akaona utumbo. Ni tofauti tu ambayo nakubali. If you can differentiate that, then dont force me to reason like the majority. I am who I am.

Kuhusu LSBU, ukweli kuna kozi zingine nzuri, na department fulani inaweza kuwa nzuri. Ila generally ni low ranked university. Thats a fact. Kusema fact sio dharau, ndo ukweli wenyewe. Bonyeza link uone funding inayopata na zinavyokwenda kwingine. Ndio maana unakuta waalimu wengi katika low ranked Unis hata hawajui kiingereza, maana wanarecruit cheap labour na multicultural. Thats a fact, sio dharau. Kuna top tier Unis, na kuna league inayokuwa formed ya Unis kama 20 hivi (red-brick Unis) ambayo LSBU haiwezi kuingia (Kitila, najua yako imo katika list ya hiyo League. Ila PhD yako sijui inahusu nini,na usimind nisipokubaliani na practicality ya PhD yako. Ni opinion yangu tu, sio dharau). Shule hizi low ranked ndio zinapata wanafunzi wengi wa international maana fees ziko chini for same course. Most of the time cheap is expensive. Thats a fact!!

LSBU iko low ranked, thats a fact. Link iko hapo juu. Mtu huyo anayesema ooh kufundisha chuo cha Ulaya achiement kubwa. yeah, maybe to you. Ila kuna waTanzania wapo katika departments kubwa zaidi and they act like they dont exist.

Anyways, nimepata e-mail hapa kuna Uni wanataka kuanzisha kozi fulani so wanahitaji maoni yangu. Let me crack on.

Over out!

Nzokanhyilu
 
Sina, nilikuwa nazuga tu kuchangamsha kijiwe.
Ila articles ni mbovu kwakweli, seriously embarrassing.


I am a bit disgusted by these people who never stop discussing others. It is more or less of psychological problems on the part of these back biters.

If you think, that your are very brilliant, why cant you stand upto the corrupt regime in Tanzania than discussing someone's article? What are you going to gain out of your work (discussing his thesis or paper?)

Or what are your children going to get out of it? You are an idiot, truth be told. Because there is no man within a normal sense who loves to discuss others yet can not do anything good for himself. Shame on you


You are trying to be like him, which you cant, and you tried the same thing with Mjomba Mashaka

Get a life man,Hacha Majungu, arrogant sore loser (along with your Pundit)

You are shaming our country !
 
You are shaming our country !

Unaandika kwa rangi nyekundu na herufi kubwa ili iweje? kama sio psychological problem hii ni nini?


Naomba link
niliyomdiscuss Mashaka. Hata simjui kwanza wala sijui anafanya nini.

Nzokanhyilu means 'A mentally challenged snake'.
Maybe you are right!!

Ila Dr kuandika poor articles nadhani ina damage zaidi nchi. Since I am a nobody, its easy for someone to dismiss my opinion. But a 'Dr.' will be listed to, now if that Dr writes jibberish...........
 
mods,PLEASE do the needfull and shut off this thread,we are getting more then we bargained for.
 
Nzoka..

kwanza, mwenzako nina phobia ya nyoka, nikiona hiyo nani yako naanza kujificha... ok, a couple of points again:

i) Acha kulinganisha PhD ya Dr Shayo na za wanasiasa wetu waliojipachika udaktari ndugu yangu-hiyo mimi ndiyo naita dharau!!
ii) Ni kweli LSBU ipo chini katika League table, lakini sio chuo ndondocha. Katika league ya dunia kinazidiwa na vyuo viwili katika bara letu, na hakuna hata chuo kimoja katika East Africa yetu kinachokikaribia.
iii) Attending a brilliant college does not necessarily make you brilliant! In other words, you don't become 'Oxford' by just getting your academic qualification at Oxford. There is more to competence than just the name of a college.
iv) Yes, mimi nimesoma (FYI-nilishamaliza kitambo) chuo ambacho kipo juu kwenye league table kama ulivyosema, lakini hiyo hainifanya mimi au degree yangu iwe ya maana sana kuliko wale waliosoma katika vyuo vingine vinavyotambulika katika ulimwengu wa taaluma.

Finally, mimi sio kondoo wa kuogopa criticism. Hapana. Lakini nakataa criticism ambazo zimejengwa katika minanjili ya kushambulia utu wa mtu-hiyo sio sawa.
 
Ndugu wana Jamiiforum.....
Mimi nindahani kama angekuwa ni mtoto wa "kigogo" basi ungekuta sasa hivi ni mtu mwnye .........ufisadi tupu!!!
huyu ni mtoto wa mkulima na amefika hapo alipo kwa JITIHADA ZAKE


...Dr.karibu sana hapa JF,...what a self introduction....
Don't need2regret Dr. Ni 'vigogo' wachache sana Tz.amboa leo hii wana historia safi ama kiutendaji kazi au katika maisha yao binafsi,wengi wao hii leo wamegundulika kuwa ni 'mafisadi' tupu!-jivuniye kuwa mtoto wa 'mkulima'.
 

Attachments

  • Dr.Shayo.making a point.jpg
    31.1 KB · Views: 104

- Bold nakubaliana
- Green sikubaliani, unachanganya standards
- The fact articles ni za utumbo haisaidii, so compentence goes out of the window. Ila kwakweli amejitahidi kuimprove kulinganisha na mwanzo. Lakini still naona vigumu kusoma. Inaumiza sana.
 

Hiyo Picha Mwakyembe anajiuliza, is this guy a Dr.?
 


Nakuaminia mkuu umenena... naomba mnilaumu nikikosea kihehe au kiswahili, msinilaume kutojua kiingereza vizuri,ni ushamba kuhusianisha kiingereza na uelewa wa mtu.
 
duh1 hii thread imefikia huku! ama kweli JF ni sawa na darasa..endeleeni
 
wewe GT unashangaa nini wakati wewe ndio umeanzisha this utamu style thread... watu mnakaa nchi za watu stress za bills zinawafanya mjisumbue na maisha ya watu.. wastemanz

well this is what i suggest for all u pipo.. Losers witha capita L

[media]http://uk.youtube.com/watch?v=GUAF_wo9lgc[/media]
 
hahahahaaa

unanichekesha sana...hivi una blackberry ? naona tangu uwekwe wazi umekuwa so nervous

hebu tuambie mawazo yako kuhusu JOHN MASHAKA

Mzee Game Theory, unamuona Dr. Shayo alivyokuwa nervous akisikia jina la John Mashaka? Sasa mbona anajielezea alivyofika Marangu, KIA and all that? Tushajua kwamba kawawa ndiye Shayo wa JF. Jamani hawa wawili si muwagonganishe vichwa humu ndani tuone nani zaidi? Ila Mashaka umri bado mdogo sana, yanki ni 28 au 30 inabidi atulie kwanza ingawa anakipaji.Tutajuaje pengine hawa ndio wanaotayarishwa kwenda kuwatoa wakina Nchimbi madarakani.

Lakini swala lingine ni kwamba, hata wakipewa madaraka. Hawa wakina Shayo, Mashaka etc... si watageuka kuwa iabu kama Lawrence Masha jamani?

Mzee Kawawa, hebu tupe mawazo yako unavyomuona mwanaharakati Mashaka, na upeo wake wa kifikra
.
 
Edward Sokoine wa a good leader. alikjua nini kifanyike na wakati gani kulingana na matakwa ya wananchi. Watu walimpenda. He was a simple guy just mchapa kazi. Hakuana hata na PhD wheather ya kuchonga ama ya kupewa ama ya kusomea. Mashaka na shayo they may be vichwa lakini si kwamba ndiyo tikiti ya leadership. ila wanaweza kuwa kutumika kama think tank. sasa huu ukutanishwaji wa mashaka na shayo je Mashaka ni Dr? Lengo la mdahalo ni nini? for whose interest? Au ndiyo NANI ZAIDI ZA chaaaz hilary na radio one?
 

Tafuta hapa; utakuta dissertation na research paper moja. Vinginevyo, jaribu hapa; huenda hutapata kitu. Vile vile jaribu hapa,
huenda pia hutapata kitu. Ila ninaamini kuna sehemu ambako utapata scholar publications zake.
 
Tafuta hapa; utakuta dissertation na research paper moja. Vinginevyo, jaribu hapa; huenda hutapata kitu. Vile vile jaribu hapa,
huenda pia hutapata kitu. Ila ninaamini kuna sehemu ambako utapata scholar publications zake.

Sijui zile proposed tuzo za wana-JF 2008 zilifia wapi lakini kwa hakika Mr Kichuguu umekuwa mmoja wa wana-JF unayejibu hoja kiungwana sana na kwa umakini mkubwa huku ukisindikiza hoja zako nyingi kwa data mwafaka.We all have a lot to learn from you,bro!Big up
 
kichuguu mbona hizo links hatuzioni?

yaani hii thread imefikia hali hii...duh1 noma tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…