Basis ya swali la GT,ni whether PhD ya Shayo ni authentic au ni kama ya kina Mponjoli.Hilo limeshajibiwa.Tatizo sio kama jibu hilo halitoshelezi,bali halikidhi matakwa ya haters wa academic achievement.
Hebu tuwekee basi huo UTUMBO kisha utuonyeshe namna wewe mwanazuoni ungeweza kuandika kilicho bora.Ni rahisi kuropoka hapa kwamba alichaondika flani ni utumbo ilhali kuandika kitu bora kuhusu maisha yako mwenyewe ni mgogoro.By the way,ungeweza kutupa kitu kikali sana kutokana na data ulizo kuwa
UNASAKA HAPA
End of the day,Dr Shayo will always be referred to as Dr Shayo,and haters mtaendelea kuumia na kukosoa (pengine huku mki-wish nanyi siku moja katika maisha yenu mngepanda kibandiko kama hicho cha u-DR lakini it's too late now) but you cant change anything.
Simjiu Shayo personally lakini najua nini maana ya PhD,naimesoma baadhi ya machapisho yake ya kitaaluma,na nimeikubali kazi yake.Do you have to?It's up to you.Conclusion uloweka
HAPA inatosha kabisa kueleza mantiki ya hoja zako.