secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Tulianza naye shule ya msingi pale Nanjirinji primary school, alipenda kukaa dawati Moja na Munch wa Annabelle na Intelligent businessman.Kweli kabisa, Bash3 ni mtu poa sana. Tulisoma wote Oxford
Mwizi ; hamkuona ufisadi aliofanya kwenye vibari vya sukari?Bashe hafai kuwa waziri mkuu uwazir wa kilimo tu alishindwa ni mtu mwenye
Bashe alipata ubunge, baada ya kigwangala kuleta ujuaji kule tabora.Tulianza naye shule ya msingi pale Nanjirinji primary school, alipenda kukaa dawati Moja na Munch wa Annabelle na Intelligent businessman.
Mmemdharau Samia kiasi kwamba mnadhani ni punguani kila siku awe anafanya kazi ya kutengeneza baraza la mawaziri? Hapo alipo halali akiwaza jinsi ya kujinasua na kitanzi cha ICC, hana muda wa kufanya kazi nyingine za serikali!Mheshimiwa Dr Hussein Bashe MP PhD anasubiria kuapishwa baada ya mabadiliko ya Baraza la mawaziri hivi karibuni.
Ni mrembo tu yule!Bashe alipata ubunge, baada ya kigwangala kuleta ujuaji kule tabora.
Ni mzugaji na mpigaji tu, hakuna kitu hapo.
Ile sijui “Better Tomorrow “ waliandaa mashamba hekta 2 kwa bil 17 alafu sasa hivi yale maeneo wamasai wameambiwa wakalishie mbuziIle program yake iliishia wapi au kajitajirisha na kuwaacha vijana wakitapatapa