View attachment 2641578
Nilipokua Mhimbili Intern walimpa mgonjwa dawa za mgonjwa mwingine, Leo Dr Celine anabwaga taarifa za mgonjwa , hawa Intern hawa
Ina maana wewe ni mtoto hukuwahi hata kusikia mgonjwa aliyepasuliwa kichwa, badala ya kupasuliwa mguu uliokuwa na tatizo?
Wewe mwenyewe hapo umejitathmini na kujiona huna kosa katika mkasa huu? Kulikuwa na sababu gani zilizokufanya ukaanza kumtegeshea huyo Dr uhayani wako?
Huyu aliyeleta mada hii hapa ni aina ya matapeli wanaolisumbua sana taifa letu siku hizi.
Kwa maksudi kabisa kaamua kumtegeshea huyo binti mtego, sasa anakuja hapa anajigamba.
Kuna kitu kisichokuwa sawa kati yake na huyo binti.
View attachment 2641578
Nilipokua Mhimbili Intern walimpa mgonjwa dawa za mgonjwa mwingine, Leo Dr Celine anabwaga taarifa za mgonjwa , hawa Intern hawa