Ina maana wewe ni mtoto hukuwahi hata kusikia mgonjwa aliyepasuliwa kichwa, badala ya kupasuliwa mguu uliokuwa na tatizo?View attachment 2641578
Nilipokua Mhimbili Intern walimpa mgonjwa dawa za mgonjwa mwingine, Leo Dr Celine anabwaga taarifa za mgonjwa , hawa Intern hawa
Wewe mwenyewe hapo umejitathmini na kujiona huna kosa katika mkasa huu? Kulikuwa na sababu gani zilizokufanya ukaanza kumtegeshea huyo Dr uhayani wako?