Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,264
- 678
Usiseme uwongo. Ndugu zangu wa Musoma hawajamthibitishia asilimia 90 Kiwete. Jamani niwekeeni hapa ile video ya Musoma ya pressure kupanda na kushuka.
Msema kweli tar 31 oktoba.
asante najua JK ulishampa kura yako:A S thumbs_up: wengine wanavuvuzela
Ni dk sawa na yule dk manyaunyau?Baadaya ya mkoa ya pwani, morogoro, kilimanjaro, musoma, sumbawanga na mingine mingi kumzibitishia kuwa wanampa kura asilimia 90, sasa Dr Kikwete ana raha anapumzika kwa raha zake,
wakati huo huo Dr SLaa anaagaika mikoa mingine najua kura zake bado hazijatosha mkapa sa ana kama asilimia 7
Mungu msadia rais wetu JK
Baadaya ya mkoa ya pwani, morogoro, kilimanjaro, musoma, sumbawanga na mingine mingi kumzibitishia kuwa wanampa kura asilimia 90, sasa Dr Kikwete ana raha anapumzika kwa raha zake,
wakati huo huo Dr SLaa anaagaika mikoa mingine najua kura zake bado hazijatosha mkapa sa ana kama asilimia 7
Mungu msadia rais wetu JK
Usiseme uwongo. Ndugu zangu wa Musoma hawajamthibitishia asilimia 90 Kiwete. Jamani niwekeeni hapa ile video ya Musoma ya pressure kupanda na kushuka.
Sumbawanga si mkoa wewe kiazi!

Ni dk sawa na yule dk manyaunyau?[/COLOR][/SIZE]
Sumbawanga si mkoa wewe kiazi!
sio kiazi mkuu, umempa heshima kubwa sana, BATA au KITIMOTO
Tembelea hapa kwa video zaidi na kuona watu wa Musoma walivyo na ujasiri wa Demokrasia, namshangaa huyo anayesema watu wa Musoma wamemuhakikishia JK ushindi wa 90%
Documentary
Bandwidth and space, wasted.
Baadaya ya mkoa ya pwani, morogoro, kilimanjaro, musoma, sumbawanga na mingine mingi kumzibitishia kuwa wanampa kura asilimia 90, sasa Dr Kikwete ana raha anapumzika kwa raha zake,
wakati huo huo Dr SLaa anaagaika mikoa mingine najua kura zake bado hazijatosha mkapa sa ana kama asilimia 7
Mungu msadia rais wetu JK
au SAMAKIsio kiazi mkuu, umempa heshima kubwa sana, BATA au KITIMOTO