Elections 2010 Dr Jakaya huyooo whitehouse!

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2010
Posts
7,264
Reaction score
678
Baadaya ya mkoa ya pwani, morogoro, kilimanjaro, musoma, sumbawanga na mingine mingi kumzibitishia kuwa wanampa kura asilimia 90, sasa Dr Kikwete ana raha anapumzika kwa raha zake,

wakati huo huo Dr SLaa anaagaika mikoa mingine najua kura zake bado hazijatosha mkapa sa ana kama asilimia 7

Mungu msadia rais wetu JK
 
Usiseme uwongo. Ndugu zangu wa Musoma hawajamthibitishia asilimia 90 Kiwete. Jamani niwekeeni hapa ile video ya Musoma ya pressure kupanda na kushuka.
 
Hivi na yeye ni dokta?? umenikumbusha mali sana, Visa vya full proffesor na associate proffesor,
 
Usiseme uwongo. Ndugu zangu wa Musoma hawajamthibitishia asilimia 90 Kiwete. Jamani niwekeeni hapa ile video ya Musoma ya pressure kupanda na kushuka.

Duh! hapo kwenye red, uangalifu kidogo na jina la 'cheupe' wetu mwenye mvuto ingawa siku hizi unafifia...si unajua mambo ya 'stages'...sasa hilo jina...ukilikosea tu unakufuru.

Labda kama unataka kutumia Dr. kama vile Dr Manyaunyau...andika Dr.Kifafapolitics.
 
Hivi kuna mkoa wa Sumbawanga na mkoa wa Musoma?. Tafadhali nifahamisheni wajuzi.
 
Baadaya ya mkoa ya pwani, morogoro, kilimanjaro, musoma, sumbawanga na mingine mingi kumzibitishia kuwa wanampa kura asilimia 90, sasa Dr Kikwete ana raha anapumzika kwa raha zake,

wakati huo huo Dr SLaa anaagaika mikoa mingine najua kura zake bado hazijatosha mkapa sa ana kama asilimia 7

Mungu msadia rais wetu JK
Ni dk sawa na yule dk manyaunyau?
 
Baadaya ya mkoa ya pwani, morogoro, kilimanjaro, musoma, sumbawanga na mingine mingi kumzibitishia kuwa wanampa kura asilimia 90, sasa Dr Kikwete ana raha anapumzika kwa raha zake,

wakati huo huo Dr SLaa anaagaika mikoa mingine najua kura zake bado hazijatosha mkapa sa ana kama asilimia 7

Mungu msadia rais wetu JK

Sumbawanga si mkoa wewe kiazi!
 
Usiseme uwongo. Ndugu zangu wa Musoma hawajamthibitishia asilimia 90 Kiwete. Jamani niwekeeni hapa ile video ya Musoma ya pressure kupanda na kushuka.

Last edited by a moderator:

Tembelea hapa kwa video zaidi na kuona watu wa Musoma walivyo na ujasiri wa Demokrasia, namshangaa huyo anayesema watu wa Musoma wamemuhakikishia JK ushindi wa 90%

Documentary
 
Ni dk sawa na yule dk manyaunyau?[/COLOR][/SIZE]

Sumbawanga si mkoa wewe kiazi!

sio kiazi mkuu, umempa heshima kubwa sana, BATA au KITIMOTO

Tembelea hapa kwa video zaidi na kuona watu wa Musoma walivyo na ujasiri wa Demokrasia, namshangaa huyo anayesema watu wa Musoma wamemuhakikishia JK ushindi wa 90%

Documentary

Bandwidth and space, wasted.

Hii inatutia moyo kuwa mnamkubali JK

Kura yako muhimu sana kwa JK ila na nyie tutawakalibisha U/Taifa kuapishwa kwa JK
 
Last edited by a moderator:
Baadaya ya mkoa ya pwani, morogoro, kilimanjaro, musoma, sumbawanga na mingine mingi kumzibitishia kuwa wanampa kura asilimia 90, sasa Dr Kikwete ana raha anapumzika kwa raha zake,

wakati huo huo Dr SLaa anaagaika mikoa mingine najua kura zake bado hazijatosha mkapa sa ana kama asilimia 7

Mungu msadia rais wetu JK

Aidha hii post yako umeandika kwa jazba au upeo wako wa kupambanua mambo ni mdogo. Makosa uliyoyaandika hapo ni aibu kwa JK kuwa na mfuasi kama wewe.

Huu ni ushahidi tosha wa kuhitaji elimu iwe bure nchi hii.
 
hivi hujasomaga hadi leo,watu wanaoenda mkutano wa chama ni hao hao ndugu yangu, hakuna wengine usihadaike na wingi wa mkutano wa jk wala wa nanihii, ngoja kipenga chamwisho
 
Back
Top Bottom