Kuna taratibu zingine ukizikuta unaanza kujiuliza hawa waliwaza nini?
Kwa aina ya viongozi waliopo pale chuoni kwetu sina shaka wote wanajua umuhimu wa kunywa maji kila wakati ili Ubongo ufanye kazi vizuri.
Sasa inakuaje mwanafunzi anaingia maktaba anakatazwa kubeba maji ya kunywa na kule ndani pia uongozi aujaweka maji ya kunywa?
Dr. Janabi hujaliona hili? Tututetee. Uafrika ni mwingi sana.