Elections 2015 Dr. John Magufuli halisi usiyemjua na yule unayemjua kupitia CCM! Ni HATARI kwa Taifa!

Magufuli sio mnyantuzu halisi. Wanyantuzi ni wasukuma katoka baadhi ya maeneo ya Bariadi. Wanajipambanua kwa kuongea lahaja ya kinyantuzu, mojawapo ya lahaja kuu nne za lugha ya kisukuma. Nitaandika kwa kirefu siku moja.
 
......... Viwanja vya ndege - TAA ( Tanzania Airports Authority)[/B]
· Madawa ya kulevya yanapita sana hapa na hakuwahi kusema chochote.

Mkuu Yericko Nyerere hivi tatizo la Airport zetu kupitisha madawa ya kulevya ni tatizo la kimiundombinu au ni kiusalama? au ulimaanisha nini hapo nilipo- bold kwa rangi ya bluu?
 
Last edited by a moderator:
Magufuli sio mnyantuzu halisi. Wanyantuzi ni wasukuma katoka baadhi ya maeneo ya Bariadi. Wanajipambanua kwa kuongea lahaja ya kinyantuzu, mojawapo ya lahaja kuu nne za lugha ya kisukuma. Nitaandika kwa kirefu siku moja.

Naona unavyomtakasa bwana Magufuli
 
Yericko Nyerere hivi viwanja vya ndege viko chini ya wizara ya Ujenzi na sio wizara ya uchukuzi?
 
Last edited by a moderator:

Kulisemea hakuhitaji waziri mhusika,
 
Last edited by a moderator:
@yericko nyerere huna tofauti na " toilet paper " kwa uvumilivu wako. huu ushahidi wa hii tweet yako hapo juu ningekuwa ni wewe ningejifungia chumbani au kujificha chini ya uvungu. umeaibishwa kulikotukuka.

Twiti ya 20/8/2013 kipindi Lowasa hajatwambia Richmond ni nani na alikuwa hajamrudia Bwana Mungu.

Sasa Lowasa ni mtakatifu, ametakaswa kama mwezi na kama nyota!
 
Twiti ya 20/8/2013 kipindi Lowasa hajatwambia Richmond ni nani na alikuwa hajamrudia Bwana Mungu.

Sasa Lowasa ni mtakatifu, ametakaswa kama mwezi na kama nyota!

Kwahiyo hata hao mnaowaita mafisadi(kama kuambiwa tu kunatosha) wakiwaambia kuwa tuhuma zinazoelekezwa kwao si za kweli mtawakubalia? kama ndio, nani atakuwa fisadi wa nchi hii?
 
Fisadi ni ccm tumebaini kumbe ni waongo kama wanavyoendelea kuwa waongo hapa
 
Kinachonishangaza is that wote wanaoponda alichoandika huyu jamaa hawaoneshi uongo aliousema au kuandika!......tunajua huyu yupo upande wa pili ila nyinyi wa Magufuli tuelezeni mambo haya sawasawa sio kuanza kumjadili mleta mada....kanusha kilichoandikwa.
 
Kwahiyo hata hao mnaowaita mafisadi(kama kuambiwa tu kunatosha) wakiwaambia kuwa tuhuma zinazoelekezwa kwao si za kweli mtawakubalia? kama ndio, nani atakuwa fisadi wa nchi hii?
Ambaye ni fisadi ndiye atakayekuwa ni fisadi....upo hapo?
Upinzani ulikuwa unapiga kelele ili serikali ichukue hatua ya kuwapeleka mahakamani na mpaka sasa tungekuwa tunajua,beyond reasonable doubt, nani haswaaa ndiye fisadi wa kweli....I repeat,beyond reasonable doubt (hii inatoka mahakamani tu)
 
Kwahiyo kwa kuwa hawakufikishwa mahakani maana yake hawakuiba?
 
Kwahiyo kwa kuwa hawakufikishwa mahakani maana yake hawakuiba?
No,probably not.Kwa sasa kwa kuwa serikali ya CCM haikutaka kuwapeleka mahakamani (labda kwa sababu 'wote' ni wahusika au kwa aliyosema lowassa kwamba muhusika mkuu alikuwa JK sasaaa majibu mengine waweza kuyapata hapo)
Kwanini nisimuamini kwa mfano huyu lowassa kwa aliyosema na ndio maana serikali/CCM haikuwa tayari kufanya uchunguzi huru kwa ufisadi mwiingi unayoindama na kuwapeleka watuhumiwa mahakamani ili tujue mbivu na mbichi maana serikali/CCM ingekuwa imeshaanguka siku nyiiingi.
So for the time being,yes we will listen to them and listen to them carefully and judge according to tunavyoweza sisi bcoz sisi sio mahakama......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…