Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015

Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015

JamiiForums

JF Official Account
Joined
Nov 9, 2006
Posts
6,229
Reaction score
5,285
Matokeo ya kura za wagombea kutokana na Mkutano Mkuu ni :

Dr. John Magufuli 87%,

Balozi Amina Ali 10% na

Dk. Asha-rose Migiro 3%

attachment.php

attachment.php

Update: 14:00

John Magufuli, amemtangaza mgombea mwenza wake kuwa ni Samiah S. Hassan

Attachments

  • Screen Shot 2015-07-12 at 10.41.21.png
    Screen Shot 2015-07-12 at 10.41.21.png
    10.5 KB · Views: 13,092
  • Screen Shot 2015-07-12 at 13.06.10.png
    Screen Shot 2015-07-12 at 13.06.10.png
    10.4 KB · Views: 10,292
Hongera sana John Pombe Magufuli. Hakuna aliyekutegemea kufika hapo. Ila siasa za makundi zimefanya chama kutafakari upya na kukuamini. Naamini kuwa hutatuangusha

Nani anabisha kuwa deal ya kupata candidate aliye mtaka mkulu imekufa bila kutegemewa? Mkulu hakutegemea kuwa baadhi ya wanakamati wa CC watatoka nje na kueleza kutofuatwa kwa taratibu za kuwapata 5 bora. Ilikuwa ni kama imetoka kwa Mwenyezi Mungu yaani hao (DR. Nchimbi, Mhs Sofia Simba na Mhs Adam …..) walikua malaika wake!

Wana JF, hatuna budi kuwashukuru hawa jamaa hata kama walikuwa wako kwenye kambi ya EL. Maana bila hivyo huyo jamaa wa kusini alishatayarishwa! Imekula kote, yaani kwa Mkulu pamaoja na kwa EL.
 
Sasa tutaletewa makamu wa Rais aliyeambulia 3% ya kura za wajumbe wa Mkutano Mkuu
 
Nani anabisha kuwa deal ya kupata candidate aliye mtaka mkulu imekufa bila kutegemewa? Mkulu hakutegemea kuwa baadhi ya wanakamati wa CC watatoka nje na kueleza kutofuatwa kwa taratibu za kuwapata 5 bora. Ilikuwa ni kama imetoka kwa Mwenyezi Mungu yaani hao (DR. Nchimbi, Mhs Sofia Simba na Mhs Adam …..) walikua malaika wake!

Wana JF, hatuna budi kuwashukuru hawa jamaa hata kama walikuwa wako kwenye kambi ya EL. Maana bila hivyo huyo jamaa wa kusini alishatayarishwa! Imekula kote, yaani kwa Mkulu pamaoja na kwa EL.

Hapana, umekosea.

Influence ya Lowassa iliishia nje ya vikao vya chama.

JK kamuweka mtu wake, aliyemuongezea ulinzi na kumpa right hand man mwezi mzima. wagombea wote wa-5 wa CCM jana walikuwa watuwa JK hand picked.

Poleni sana kwa kuchezewa shere na JK.
 
Matokeo ya kura za Wagombea kutokana na Mkutano Mkuu ni : Mhe. John Pombe Magufuli 87%, Dk. Asha-Rose Migiro 10% na Balozi Amina Salum Ali 3%.

Chanzo: ukurasa rasmi wa facebook wa CCM Tanzania.
 
Umofia kwenu wana JF,

Mh Pombe alitumia madaraka yake vibaya na kujimilikisha viwanja nane vya Mbweni Beach JKT na kujenga ghorofa katika kila kiwanja na ghorofa jingine amemuweka nyumba ndogo. Huyu Pombe amepata wapi fedha za kujenga maghorofa nane (kila ghorofa kwenye kiwanja kimoja) simultaneously kuanzia mwanzo mpaka mwisho?

Tumekabidhi wizara kafanya haya ,Je akipewa urais si itakuwa balaa? Huyu mtu sio muadilifu kabisa, hafai kuongoza nchi hii.
 
Hongera sana John Pombe Magufuli. Hakuna aliyekutegemea kufika hapo. Ila siasa za makundi zimefanya chama kutafakari upya na kukuamini. Naamini kuwa hutatuangusha

Naungana na Lizaboni.
Mhe. Mungu akupe Hekima na Busara Kama Mfalme Suleiman. Usituangushe.
Queen Esther
 
Back
Top Bottom