Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkulu mwenyewe alisema ukitaka kula lazima uliwe, sema tu alijisahauNani anabisha kuwa deal ya kupata candidate aliye mtaka mkulu imekufa bila kutegemewa? Mkulu hakutegemea kuwa baadhi ya wanakamati wa CC watatoka nje na kueleza kutofuatwa kwa taratibu za kuwapata 5 bora. Ilikuwa ni kama imetoka kwa Mwenyezi Mungu yaani hao (DR. Nchimbi, Mhs Sofia Simba na Mhs Adam ..) walikua malaika wake!
Wana JF, hatuna budi kuwashukuru hawa jamaa hata kama walikuwa wako kwenye kambi ya EL. Maana bila hivyo huyo jamaa wa kusini alishatayarishwa! Imekula kote, yaani kwa Mkulu pamaoja na kwa EL.
Matokeo ya kura za wagombea kutokana na Mkutano Mkuu ni :
Mhe. Johm Mgufulu 87%,
Balozi Amina Ali 10% na
Dk. Asha Migiro 3%
![]()
Hawajachakachua kweli? Kama hata kwenye kuyaandika tu matokeo wanachakachua nakuomba radhi
Kazi yake si kukata utepe tu, haina shida. Shida itakuja kama nature itamwondoa Rais.
Tunaoipinga CCM tunapaswa kujipanga kwelikweli, tuache chuki zisizo na msingi baina yetu, otherwise huyu jamaa atatuumbua kwelikweli.
Karibu mwalimu tunatarajia utainua taaluma iliyodolola mpaka kufikia devision five, japo tunajua huna desturi ya kuwajari wafanyakazi lakini tunaimani nawe.
Nani anabisha kuwa deal ya kupata candidate aliye mtaka mkulu imekufa bila kutegemewa? Mkulu hakutegemea kuwa baadhi ya wanakamati wa CC watatoka nje na kueleza kutofuatwa kwa taratibu za kuwapata 5 bora. Ilikuwa ni kama imetoka kwa Mwenyezi Mungu yaani hao (DR. Nchimbi, Mhs Sofia Simba na Mhs Adam ..) walikua malaika wake!
Wana JF, hatuna budi kuwashukuru hawa jamaa hata kama walikuwa wako kwenye kambi ya EL. Maana bila hivyo huyo jamaa wa kusini alishatayarishwa! Imekula kote, yaani kwa Mkulu pamaoja na kwa EL.
Hakuna sababu ya kumfikiria. Kumrudisha fisadi madarakani ni kujipunguzia creditHongera,ila mfikirie lowasa ametumia fedha nyingi sana au siko sahihi?
Umofia kwenu wana JF,
Mh Pombe alitumia madaraka yake vibaya na kujimilikisha viwanja nane vya Mbweni Beach JKT na kujenga ghorofa katika kila kiwanja na ghorofa jingine amemuweka nyumba ndogo. Huyu Pombe amepata wapi fedha za kujenga maghorofa nane (kila ghorofa kwenye kiwanja kimoja) simultaneously kuanzia mwanzo mpaka mwisho?
Tumekabidhi wizara kafanya haya ,Je akipewa urais si itakuwa balaa? Huyu mtu sio muadilifu kabisa, hafai kuongoza nchi hii.