JamiiForums
JF Official Account
- Nov 9, 2006
- 6,229
- 5,285
Hongera sana John Pombe Magufuli. Hakuna aliyekutegemea kufika hapo. Ila siasa za makundi zimefanya chama kutafakari upya na kukuamini. Naamini kuwa hutatuangusha
Jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni. Hongera MagufuliHongera sana John Pombe Magufuli. Hakuna aliyekutegemea kufika hapo. Ila siasa za makundi zimefanya chama kutafakari upya na kukuamini. Naamini kuwa hutatuangusha
Nani anabisha kuwa deal ya kupata candidate aliye mtaka mkulu imekufa bila kutegemewa? Mkulu hakutegemea kuwa baadhi ya wanakamati wa CC watatoka nje na kueleza kutofuatwa kwa taratibu za kuwapata 5 bora. Ilikuwa ni kama imetoka kwa Mwenyezi Mungu yaani hao (DR. Nchimbi, Mhs Sofia Simba na Mhs Adam …..) walikua malaika wake!
Wana JF, hatuna budi kuwashukuru hawa jamaa hata kama walikuwa wako kwenye kambi ya EL. Maana bila hivyo huyo jamaa wa kusini alishatayarishwa! Imekula kote, yaani kwa Mkulu pamaoja na kwa EL.
Sasa tutaletewa makamu wa Rais aliyeambulia 3% ya kura za wajumbe wa Mkutano Mkuu
kwani ameshapitishwa?
Hongera sana John Pombe Magufuli. Hakuna aliyekutegemea kufika hapo. Ila siasa za makundi zimefanya chama kutafakari upya na kukuamini. Naamini kuwa hutatuangusha