Ngamanyatz
Member
- Jul 11, 2015
- 6
- 5
MoU nayo ife nchi sio ya kikristo hii
Habari wanaJamvi.
Najaribu kumfuatilia Jk hapa, anatumia muda mwingi sana kujihami anapomzungumzia Dr. Magufuli.
Jaribuni kumfuatilia.
Hili jambo halina nafasi kwa sasa katika nchi yetu. Mambo yasiyo na maana yasituchukulie muda wa mambo ya maana
HV alama hii % unaelewa maana yake au umekurupuka? Asha angepata 59% sio ndo angekuwa mshindi? jf great thinkers,probably
Mimi kwa mawazo yangu nafikiria rais atatoka CCM, basi tuweke nguvu kubwa tupate wabunge wengi wa UKAWA ili serikali isilale.Ni maoni yangu
Wale missiontown anzeni kutafuta fursa mpya maana 'kupiga deal' kumefikia tamati. Watumishi wa umma badilikeni 'business as usual' ndio bye bye. Wafanyabiashara jiandaeni kulipakodi kwa mujibu wa sheria 'mambo ya hongo' kwishney. Na kwa wachapazi hii ni fursa ya kula 'matunda mema' ya jasho lao. Ahsante na j'pili njema!