Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015


Ndo kesha kuwa rais huyo
 
Hata wakibaki wenyewe huwa wanapata taabu saana kuweka mambo vizuri....mfano bunge la katiba ....kura za amina salim na asha migiro mpaka kuomba radhi nakadhalika....,hivi Mzee wa miaka mitano yatosha a.k.a mbio na viwango a.k.a Chairman BMK atasataafu au atapewa u bodi chairman ...
 
JK chali.......

Anatupimia kwa kijiko? Ataumia!

Hureeeeeee TeamLowassa!
 
Matokeo haya niliyaona tangu walipomaliza tu kutoa hotuma/sera zao jana hata kabla ya kupiga kula!
 
Tanzania in "democratic dictatorship" now.

Ngojeni nikatafute passport yangu nilikoitupia.

Halafu ghafla kichwa kinaniumaa..
 
Duh!!......Nae alipataga kikombe cha babu!!
 

Attachments

  • 1436687246239.jpg
    36.4 KB · Views: 260

good, hata Mimi sina imani naye❕ mmilliki wa hotel bamaga a.ka magufuli hela zote alitoa wapi❔❔❔ kumbe ndiyo maana barabara Ni nyembamba kumbe makufuli kashachukua chake❕❕❕ yaani chama cha mafisadi ccm wote wameoza❔❔
 
Ebhaneeee mimi toka muda mrefu hata kabla ya matokeo haya hili nililitarajia. Ccm ilihitaji mtu kama Magufuli ili kupunguza nguvu ya kura za UKAWA. Mpaka kufikia hapa Kwenye Urais ni 50/50 lolote linaweza kutokea,ngoja tuone.

BACK TANGANYIKA
 

Lowassa Wako Ana Mara 100 Ya Hivyo Vya Rais Dr. John Pombe Magufuli. Wivu Tu Na Chuki Zinakusumbua! Wewe Ungepewa Cheo Usingeiba? Acha UNAFIKI Na KUTUMIKA Kama Karatasi Ya Msalani. Tanzania INAMUHITAJI Magafuli Na HAIMTAKI Lowassa.
 
Mabadiliko ya kura za mkutano mkuu ni efforts kuhakikisha Amina anakua Makamu wa Rais? Either way ni safi sana kuhakikisha Muungano unalindwa
 
Tanzania in "democratic dictatorship" now.

Ngojeni nikatafute passport yangu nilikoitupia.

Halafu ghafla kichwa kinaniumaa..

atanyosha madhaifu ya JK, na uzuri na JK mwenyewe ka declare interest kuwa anamtaka rais mtata zaidi yake ili atusogeze mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…