Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Wewe hebu kalale!
Halafu nikishalala??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe hebu kalale!
Magufuli asipoingiliwa katika utendaji na waliomtuma, basi tutashuhudia rais muwajibikaji katika historia ya Tanzania...
Ni wakati wa Tanzania mpya kuamka sasa na kusonga mbele kuyaelekea maendeleo...
Shime Watanzania
Hongera na wewe mkuu. Chaguo lako hiloHongera sana John Pombe Magufuli. Hakuna aliyekutegemea kufika hapo. Ila siasa za makundi zimefanya chama kutafakari upya na kukuamini. Naamini kuwa hutatuangusha
Duh!!......Nae alipataga kikombe cha babu!!
Point of correction..this is not twitter, this is JF, there is no 'following' here..
Camouflaging..nothing is wrong..we still have an election though..
Umofia kwenu wana JF,
Mh Pombe alitumia madaraka yake vibaya na kujimilikisha viwanja nane vya Mbweni Beach JKT na kujenga ghorofa katika kila kiwanja na ghorofa jingine amemuweka nyumba ndogo. Huyu Pombe amepata wapi fedha za kujenga maghorofa nane (kila ghorofa kwenye kiwanja kimoja) simultaneously kuanzia mwanzo mpaka mwisho?
Tumekabidhi wizara kafanya haya ,Je akipewa urais si itakuwa balaa? Huyu mtu sio muadilifu kabisa, hafai kuongoza nchi hii.
Tunakupongeza ndg john pombe magufuri wewe ni jembe
Umofia kwenu wana JF,
Mh Pombe alitumia madaraka yake vibaya na kujimilikisha viwanja nane vya Mbweni Beach JKT na kujenga ghorofa katika kila kiwanja na ghorofa jingine amemuweka nyumba ndogo. Huyu Pombe amepata wapi fedha za kujenga maghorofa nane (kila ghorofa kwenye kiwanja kimoja) simultaneously kuanzia mwanzo mpaka mwisho?
Tumekabidhi wizara kafanya haya ,Je akipewa urais si itakuwa balaa? Huyu mtu sio muadilifu kabisa, hafai kuongoza nchi hii.
Huyu anahusika Na uuzaji wa Nyumba za serikali wakati wa awamu ya tatu kule Arusha na kwingineko Tanzania
Hasira za kupigwa chini hizi. Weka ushahidi.
Mkuu,Magufuli ni mtiifu sana kwa JK.....hapo kashinda JK....tano bora yote ilikuwa yake......
ukweli ni kwamba mchakato wa kumpata mgombea CCM umeacha ufa mkubwa ambao hauzibiki watu wanaweza kupiga kura za maluhani.Pamoja na kwamba siipendi CCM ila kupitishwa kwa maghufuli ni kwamba sio jambo rahisi sana kwa UKAWa kuwaaminisha watanzania wa hali ya kawaida wasiofuatilia mambo kuwa huyu jamaaa ni mchafu.
Nawabeni ukawa msichukulie poa na msikae tu na kujifariji kuwa njia ni nyeupe., hakuna kitu kama hicho,
Pamoja na kuungana kuna uwezekano mkubwa ccm wakashibnda kwa kishindo pia .
Tusidanganyane hapa JF
JK chali.......
Anatupimia kwa kijiko? Ataumia!
Hureeeeeee TeamLowassa!