Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015

Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015

Wakuu mimi napingana na wengine, Magufuli aliandaliwa na alikuwa anajua hilo, hembu tuchukulie kidogo kwenye mikutano yake akiwa na Jk mikoani.......Jk amekuwa akifurahi sana kuongozana na Magufuli mikoani maana hakuna zomea zomea tofauti na mawaziri wengine,hata bungeni tumeshuhudia mara nyingi bajeti yake ikipita bila mikwaruzo mikubwa toka upinzani, Jk mwenyewe keshawahi sikika akitamka kuwa Magufuli ndiye jembe lake.........tuje kwenye kete nyingine ya suala la upigaji kura, inasemekana kanda ya ziwa ndipo kuna lundo kubwa la wapiga kura na sote tunafahamu jinsi upinzani hasa CDM walivyo na nguvu pande hizo,sasa kwa vyovyote vile CCM waliona kumsimamisha Membe au yyt tofauti na Magufuli ni kuzidi kujichimbia kaburi.
Turudi kwenye unyenyekevu kwa Serikali, Magufuli ameonyesha unyenyekevu mkubwa kwa Serikali yake na tumeona hata alivyochukua fomu, hakukosoa popote kama wenzake walivyofanya, wengine wakisema watakomesha rushwa, wataboresha hichi na kile ili mradi tu ni kama kumdhalilisha JK kuwa hakuna alilofanya.....khs kusema JK alikuwa anamtaka Membe, siwezi kubisha ila nakumbuka katika moja ya Magazeti makini ya kila wiki kuna sehemu nilisoma kuwa kuna mtu wa karibu na JK alishawahi kumsikia akisema Membe si chaguo lake ila familia yake ndio inamtaka na wengi tuliona kipindi kile kwenye NEC jinsi Mama na Mwana walivyohaha kumuokoa Mheshimiwa.
Katika kuchangia na kujaribu kujibu swali la mleta mada, mimi nasema Magufuli aliandaliwa na alikuwa analijua hili.
 
Habari wanaJamvi.


Najaribu kumfuatilia Jk hapa, anatumia muda mwingi sana kujihami anapomzungumzia Dr. Magufuli.

Jaribuni kumfuatilia.

Nani anabisha kuwa DEAL ya kupata candidate aliye mtaka MKULU imekufa bila kutegemewa?
MKULU hakutegemea kuwa baadhi ya wanakamati wa CC watatoka nje na kueleza kutofuatwa kwa taratibu za kuwapata 5 bora. Ilikuwa ni kama imetoka kwa Mwenyezi Mungu yaani hao (DR. Nchimbi, Mhs Sofia Simba na Mhs Adam …..) WALIKUWA MALAIKA WAKE!

WANA JF hatuna budi kuwashukuru hawa jamaa hata kama walikuwa wako kwenye kambi ya EL. Maana bila hivyo huyo jamaa wa KUSINI alisha tayarishwa! Imekula kote yaani kwa MUKULU pamaoja na EL.
 
Wengi wanaosema Ukawa ni hawa hawa wa mitandao ya kijamii..wale mababu zetu kule viijini ambao ni wengi kuliko akina sisi na hawana account hata moja kwenye hizi vitu mnafkiri wanasema nani labda?
 
[h=2]Member of Parliament CV[/h]
SalutationHon.
First Name: Dr. Hussein
Middle Name: Ali
Last Name:Mwinyi
Constituent: Kwahani
Political Party: Chama Cha Mapinduzi
Office Location: P.O. Box 9120, Dar es Salaam
Office Phone: +255 754 279 343/+255 754 995 555Office Fax:
Office E-mail: hmwinyi@parliament.go.tz
Member Status: Active
Date of Birth 23 December 1966

[TH="colspan: 3, align: left"] GENERAL [/TH]

[TD="width: 42%, align: center"] Member picture
1042.jpg
[/TD]

[TD="width: 20%"] Member Type: [/TD]
[TD="width: 38%"]Elected Member[/TD]
Manor House Junior School, Cairo, Egypt
Oysterbay Primary School
Azania Secondary School
Tambaza High School
Marmara University Medical School, Istanbul Turkey
Hammersmith Hospital, London, UK
Hammersmith Hospital, London, UK

[TH="colspan: 5, align: left"] EDUCATION [/TH]

[TH="width: 35%"] School Name/Location [/TH]
[TH="width: 27%"] Course/Degree/Award [/TH]
[TH="width: 15%, align: center"] Start Date [/TH]
[TH="width: 13%, align: center"] End Date [/TH]
[TH="width: 10%, align: center"] Level [/TH]

[TD="align: center"]CPEE[/TD]
[TD="align: center"]1977[/TD]
[TD="align: center"]1981[/TD]
[TD="align: center"]Primary School[/TD]

[TD="align: center"]CPEE[/TD]
[TD="align: center"]1972[/TD]
[TD="align: center"]1976[/TD]
[TD="align: center"]Primary School[/TD]

[TD="align: center"]CSEE[/TD]
[TD="align: center"]1982[/TD]
[TD="align: center"]1984[/TD]
[TD="align: center"]Secondary School[/TD]

[TD="align: center"]ACSEE[/TD]
[TD="align: center"]1984[/TD]
[TD="align: center"]1985[/TD]
[TD="align: center"]Secondary School[/TD]

[TD="align: center"]Doctor of Medicine[/TD]
[TD="align: center"]1985[/TD]
[TD="align: center"]1991[/TD]
[TD="align: center"]Certificate[/TD]

[TD="align: center"]Masters (Medicine)[/TD]
[TD="align: center"]1991[/TD]
[TD="align: center"]1997[/TD]
[TD="align: center"]Masters Degree[/TD]

[TD="align: center"]PhD[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[TD="align: center"]1997[/TD]
[TD="align: center"]PhD[/TD]
Company Name
Ministry of Defence and National ServiceMinister
Ministry Of HealthMinister
Vice-President's Office - Union AffairsMinister
Ministry of HealthDeputy Minister
Ministry of Defence and National ServiceMinister
Hubert Kairuki Memorial UniversityLecturer
Hubert Kairuki Memorial UniversitySpecialist Doctor
Ministry of Health - Muhimbili HospitalRegistrar
Ministry of Health - Muhimbili HospitalDoctor
Marmara UniversityIntern

[TH="colspan: 4, align: left"] EMPLOYMENT HISTORY [/TH]

[TH="align: center"] Position [/TH]
[TH="align: center"] From [/TH]
[TH="align: center"] To [/TH]

[TD="align: center"]2014-01-20[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]

[TD="align: center"]2012[/TD]
[TD="align: center"]2014-01-20[/TD]

[TD="align: center"]2006[/TD]
[TD="align: center"]2/8/2008[/TD]

[TD="align: center"]2000[/TD]
[TD="align: center"]2005[/TD]

[TD="align: center"]2/13/2008[/TD]
[TD="align: center"]To Date[/TD]

[TD="align: center"]1998[/TD]
[TD="align: center"]2000[/TD]

[TD="align: center"]1998[/TD]
[TD="align: center"]1999[/TD]

[TD="align: center"]1994[/TD]
[TD="align: center"]1995[/TD]

[TD="align: center"]1993[/TD]
[TD="align: center"]1993[/TD]

[TD="align: center"]1991[/TD]
[TD="align: center"]1992[/TD]
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember - National General Council
The Parliament of TanzaniaMember - Kwahani Constituency
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember - Kwahani /Mkuranga Political Committee
The Parliament of TanzaniaMember - Mkuranga Constituency

[TH="colspan: 4, align: left"] POLITICAL EXPERIENCE [/TH]

[TH="class: text_menu, width: 47%"]Ministry/Political Party/Location [/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position [/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]

[TD="align: center"]2005[/TD]
[TD="align: center"]Todate[/TD]

[TD="align: center"]2005[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]

[TD="align: center"]2000[/TD]
[TD="align: center"]To Date[/TD]

[TD="align: center"]2000[/TD]
[TD="align: center"]2005[/TD]

Hapo katika experience ya Muhimbili ndipo utata unapoanzia, kuna tofauti gani kati ya ya Registrar na Medical Doctor.
 
CCM wanataka kuanza tena kuwatapeli Waislam

hamjajua bado kwamba mahakama ya kadhi ni ndoto tanzania na wala hamjakatazwa waislamu muungane muanzishe na muendeshe wenyewe mbona iko wazi tu hiyo mnatafuta nini serikalini wakati mnajua serikali haiwez kupendelea dini moja mana yenyewe haina dini ila watu wake wa dini kama hamjui mnadharauliwa kwa jambo hilo, mnakuwa kama hamjaenda shule
 
HIVI HAWA MAJOMBA BADO HAWAJASAHAU HIO ISHU??? sikio la kufa!!?!.....
 
hamjajua bado kwamba mahakama ya kadhi ni ndoto tanzania na wala hamjakatazwa waislamu muungane muanzishe na muendeshe wenyewe mbona iko wazi tu hiyo mnatafuta nini serikalini wakati mnajua serikali haiwez kupendelea dini moja mana yenyewe haina dini ila watu wake wa dini kama hamjui mnadharauliwa kwa jambo hilo, mnakuwa kama hamjaenda shule

Umeongea vyema mkuu uko wap vile nikuletee juice ya parachichi
 
Hili jambo halina nafasi kwa sasa katika nchi yetu. Mambo yasiyo na maana yasituchukulie muda wa mambo ya maana
 
Back
Top Bottom