Bukama Batoko
JF-Expert Member
- Apr 27, 2015
- 820
- 137
ukiangalia na matatizo yaloyopo nchini kwetu, rushwa, na uadilifu na ukapima katika candidates wote, magufuli ankuwa juu ya wengine. tunachohitaji ni kumpata rais atakayeyatatua hayo matatizo. magufuli hana kashfa za rushwa na anachukia rushwa, magufuli ni muadilifu na anapenda uadilifu ndiyo maana alidirikikufukuza wazembe wote na wanaofanya kazi kwa mazoea. generaly magufuli anawapiku wagombea urais wote.
anastahili urais based on reality
You cant compare Magufuli
You cant compare Magufuli with Lowasa. Magufuli is good in administration, so he is president elect
Magufu atakuwa rais wa nyuma yako na sio watz. Huyu anaeongea kama kasuku hadi anawehuka... kwel www ni kilaza mkubwa sana..hata hujui kufanya assessment
Magufule ni puppet wa jk, ndio maana jk anamkubali sana, yaani akiwa ikuli maslahi yatalindwa bila shaka yoyote.
Mtu mbadhirifu mkubwa wa mali za uma za wizara ya ujenzi na aliyepoteza mamilioni kwa wakandarasi hafai kuwa na sifa za uchapa kazi!
Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha mapinduzi john POmbe MAgufuli ameendelea kuwa tishio kwa mafisadi hapo nchini,wananchi wengi wameendelea kumpongeza mgombea huyo kuwa ni mchapa kazi,mwadilifu na ndiye atakayemaliza tatizo la ufisadi hapa nchini mara baada ya kuchaguliwa kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa TAnzania oktoba 25
Hakika wewe ndio unaejua watanzania wanahitaji nini,sifa zako za uchapakaz hodari,ufuatiliaji,umakini,usikivu zinakupa asilimia 100 kuingia ikulu!WEWE NDIO RAIS YETU UJAYE
Lowassa
Katika hili tunaenda na Magufuli IkuluHakika wewe ndio unaejua watanzania wanahitaji nini,sifa zako za uchapakaz hodari,ufuatiliaji,umakini,usikivu zinakupa asilimia 100 kuingia ikulu!WEWE NDIO RAIS YETU UJAYE