Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa sasa tulipofikia kama taifa tunahitaji rais mwanasayansi,tunahitaji rais mwanasayansi kwa sababu zifuatazo.
Kwanza tanzania tunahitaji kukua kwa yanja ya kisayansi na ili kuendelea katika sekta za viwanda na teknolojia TUNAHITAJI MTUMFUATILIJI MWENYE TAALUMA YA KISAYANSI
pili dunia ya sasa ni ya sayansi na teknolojia hivyo tunahitaji rais mwenye hiyo taaluma ya kisayansi ili aweze kuhakikisha kuwa taaluma yake inakuwa katika viwango vya kimataifa na kusababisha maendeleo yanayo tokana na sayansi.
Tatu tangu nchi hii uimbwe haijawahi kuwa na rais mwanasayansi
rais wa awmu ya kwanza alikuwa ni mwalimu
rais wa awamu ya pili alikuwa ni mwalimu
rais wa awamu ya tatu alikuwa ni mwahahabari
rais wa awamu ya nne ni mchumi
na rais wa awamu ya tano tunamtaka rais ambaye ni mwanasayansi,sasa ni zamu ya mwanasayansi
maendeleo ya sayansi na teknolojia kwa tanzania kwa viwango vya juu zaidi yataletwa na rais mwanasayansi na siyo muugizaji au mwana sanaa aliyo bobeakatika taaluma ya mazingaomwe.
Karne ya sayansi na teknolojia inahitaji rais mwanasayansi.Tingatinga anafaa
Nani kakwambia magufuli ni mwanasayansi??? Yule ni mwalimu wa chemistry kazi yake ni kufundisha na kuchanganya ma chemical kwa ajili ya practical tu.kweli ilani yetu haijakosewa
1.elimu
2.elimu
3.elimu
Kwa sasa tulipofikia kama taifa tunahitaji rais mwanasayansi,tunahitaji rais mwanasayansi kwa sababu zifuatazo.
Kwanza Tanzania tunahitaji kukua kwa yanja ya kisayansi na ili kuendelea katika sekta za viwanda na teknolojia TUNAHITAJI MTUMFUATILIJI MWENYE TAALUMA YA KISAYANSI.
Najua
Join Date : 18th September 2015
Posts : 102
Rep Power : 325
Likes Received
50
Likes Given
23
Lakini hoja yako ingekuwa na maana kama ungetoa mfano wa maraisi wanasayansi walivyofanya kazi kubwa ya kujenga nchi zao. Hiyo ingesaidia sana. Hata kama ungeangalia Viongozi wa Marekani na ungefanya utafaiti kidogo angalau tungekuwa tumepata mifano ya wazi. Halfau je unazungumzia sayansi ya namna gani, hUYU WENU NI MTU aliyesomea somo la Chemistry na ukumbuke naye alikuwa mwalimu wa Masomo ya sayansi hasa Somo la Chemistry. Je kwa kujua somo hilo ndiyo itatusaidia kama nchi kusonga mbele. Kwanini usiseme ncho hii inatakiw iapate mtu aliyesomea masomo yanayohusu maendeleo ya watu. Masters in Human Development. Si Ndiyo shida yetu kubwa. kWA WENZETU WANASAYSNSI WAnashinda NASA. Na sehemu zingine. Kama huyu anatakiwa ashinde maabara kuchanganya na kubuni kemikali mbalimbali kwa ajili ya viwanda.Akiwezeshwa kama mtaalamu wa Chemistry kuanzisha maabara mabalimbali nchini anaweza kusaidia sana eneo la utafiti wa chemicals kwa ajili ya viwanda na kuuza nje ya nchi. Na huko ndipo kunmfaa Dr Pombe. Ikulu ni Ngoyai. Asante. Pole pia kwa ugeni wako kwani hoja zako zinaonyesha wazi.