Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

Alipo tupo tutamchagua na atashinda kwa kishindo kikubwa.. Chagua magufuli kwa mabadiliko ya kweli cyo ya blaa blaa
 
Kwa sasa tulipofikia kama taifa tunahitaji rais mwanasayansi,tunahitaji rais mwanasayansi kwa sababu zifuatazo.

Kwanza Tanzania tunahitaji kukua kwa yanja ya kisayansi na ili kuendelea katika sekta za viwanda na teknolojia TUNAHITAJI MTUMFUATILIJI MWENYE TAALUMA YA KISAYANSI.

Pili dunia ya sasa ni ya sayansi na teknolojia hivyo tunahitaji rais mwenye hiyo taaluma ya kisayansi ili aweze kuhakikisha kuwa taaluma yake inakuwa katika viwango vya kimataifa na kusababisha maendeleo yanayo tokana na sayansi.

Tatu tangu nchi hii uimbwe haijawahi kuwa na rais mwanasayansi
Rais wa awmu ya kwanza alikuwa ni mwalimu
Rais wa awamu ya pili alikuwa ni mwalimu
Rais wa awamu ya tatu alikuwa ni mwahahabari
Rais wa awamu ya nne ni mchumi.

Rais wa awamu ya tano tunamtaka rais ambaye ni mwanasayansi, sasa ni zamu ya mwanasayansi
maendeleo ya sayansi na teknolojia kwa Tanzania kwa viwango vya juu zaidi yataletwa na rais mwanasayansi na siyo muugizaji au mwana sanaa aliyo bobea katika taaluma fani yake.
 
Magufuli ni mwalimu wa kemia! Kuwa na PhD haibadili profession yako, kinacho define profession yako ni kile ulicho kisoma wakati wa Elimu yako ya either ya kati au degree ya kwanza na si vinginevyo! Magufuli alikuwa trained kuwa mwalimu by profession! Alichokifanya magufuli ni kujiendeleza tu kama walivyofanya watu wengine lakini haimgeuzi kuwa mhandisi au mwana sayansi!



Kwa hiyo magufuli ni mwalimu tu!
 
Kwa Taarifa iliyopo mitaani Watz hawahitaji Raisi wanahitaji Chama kingine kuongoza nchi yao,hivi hukuwasikia waTz waliposema hata likiwekwa jiwe watachagua alimuradi CCM wakae benchi na ndivyo makada wakongwe wa CCM wanavyodai ,CCM pumzi zimekwisha hana isipokuwa kuvuruga kila sehemu ,si golikipa si winga hafai kuwemo uwanjani apumzike kama si kufa kabisa. Nyie vipi mnatafuta raisi ,subirini kwanza hawa CCM wakishapewa RED CARD hapo tarehe 25 /10/2015 ,...CCM hhhoi ?
 
Kama Tanzania inataka mwanasayansi basi tungewachukua Prof. Muhongo au Prof. Mwandosya. Maana sayansi yenyewe inategemea umeifanyia nini hiyo sayansi kabla hujagombea.

kwa sasa tulipofikia kama taifa tunahitaji rais mwanasayansi,tunahitaji rais mwanasayansi kwa sababu zifuatazo.
Kwanza tanzania tunahitaji kukua kwa yanja ya kisayansi na ili kuendelea katika sekta za viwanda na teknolojia TUNAHITAJI MTUMFUATILIJI MWENYE TAALUMA YA KISAYANSI
pili dunia ya sasa ni ya sayansi na teknolojia hivyo tunahitaji rais mwenye hiyo taaluma ya kisayansi ili aweze kuhakikisha kuwa taaluma yake inakuwa katika viwango vya kimataifa na kusababisha maendeleo yanayo tokana na sayansi.

Tatu tangu nchi hii uimbwe haijawahi kuwa na rais mwanasayansi
rais wa awmu ya kwanza alikuwa ni mwalimu
rais wa awamu ya pili alikuwa ni mwalimu
rais wa awamu ya tatu alikuwa ni mwahahabari
rais wa awamu ya nne ni mchumi
na rais wa awamu ya tano tunamtaka rais ambaye ni mwanasayansi,sasa ni zamu ya mwanasayansi
maendeleo ya sayansi na teknolojia kwa tanzania kwa viwango vya juu zaidi yataletwa na rais mwanasayansi na siyo muugizaji au mwana sanaa aliyo bobeakatika taaluma ya mazingaomwe.
 
Karne ya sayansi na teknolojia inahitaji rais mwanasayansi.Tingatinga anafaa

Nani kakwambia magufuli ni mwanasayansi??? Yule ni mwalimu wa chemistry kazi yake ni kufundisha na kuchanganya ma chemical kwa ajili ya practical tu.kweli ilani yetu haijakosewa
1.elimu
2.elimu
3.elimu
 
Nani kakwambia magufuli ni mwanasayansi??? Yule ni mwalimu wa chemistry kazi yake ni kufundisha na kuchanganya ma chemical kwa ajili ya practical tu.kweli ilani yetu haijakosewa
1.elimu
2.elimu
3.elimu

Unajua maana ya shahada ya uzamivu?
kweli mnahitaji elimu
 
Kwa sasa tulipofikia kama taifa tunahitaji rais mwanasayansi,tunahitaji rais mwanasayansi kwa sababu zifuatazo.

Kwanza Tanzania tunahitaji kukua kwa yanja ya kisayansi na ili kuendelea katika sekta za viwanda na teknolojia TUNAHITAJI MTUMFUATILIJI MWENYE TAALUMA YA KISAYANSI.

Najua

Join Date : 18th September 2015
Posts : 102

Rep Power : 325

Likes Received
50
Likes Given
23

Lakini hoja yako ingekuwa na maana kama ungetoa mfano wa maraisi wanasayansi walivyofanya kazi kubwa ya kujenga nchi zao. Hiyo ingesaidia sana. Hata kama ungeangalia Viongozi wa Marekani na ungefanya utafaiti kidogo angalau tungekuwa tumepata mifano ya wazi. Halfau je unazungumzia sayansi ya namna gani, hUYU WENU NI MTU aliyesomea somo la Chemistry na ukumbuke naye alikuwa mwalimu wa Masomo ya sayansi hasa Somo la Chemistry. Je kwa kujua somo hilo ndiyo itatusaidia kama nchi kusonga mbele. Kwanini usiseme ncho hii inatakiw iapate mtu aliyesomea masomo yanayohusu maendeleo ya watu. Masters in Human Development. Si Ndiyo shida yetu kubwa. kWA WENZETU WANASAYSNSI WAnashinda NASA. Na sehemu zingine. Kama huyu anatakiwa ashinde maabara kuchanganya na kubuni kemikali mbalimbali kwa ajili ya viwanda.Akiwezeshwa kama mtaalamu wa Chemistry kuanzisha maabara mabalimbali nchini anaweza kusaidia sana eneo la utafiti wa chemicals kwa ajili ya viwanda na kuuza nje ya nchi. Na huko ndipo kunmfaa Dr Pombe. Ikulu ni Ngoyai. Asante. Pole pia kwa ugeni wako kwani hoja zako zinaonyesha wazi.
 
Hatuitaji ccm ht km angegombea malaika mkuu.wa mungu,,,tunataka chama kingine
 
Back
Top Bottom