Siku za ajabu
JF-Expert Member
- Dec 23, 2012
- 1,369
- 986
hakika wewe ndio unaejua watanzania wanahitaji nini,sifa zako za uchapakaz hodari,ufuatiliaji,umakini,usikivu zinakupa asilimia 100 kuingia ikulu!wewe ndio rais yetu ujaye
Hakika wewe ndio unaejua watanzania wanahitaji nini,sifa zako za uchapakaz hodari,ufuatiliaji,umakini,usikivu zinakupa asilimia 100 kuingia ikulu!WEWE NDIO RAIS YETU UJAYE
Hakika wewe ndio unaejua watanzania wanahitaji nini,sifa zako za uchapakaz hodari,ufuatiliaji,umakini,usikivu zinakupa asilimia 100 kuingia ikulu!WEWE NDIO RAIS YETU UJAYE
Inapendeza.ukisema yeye ndiyo rais wako ajaye. kwa kuwa kila mmoja wetu ana itikadi tofauti na yupo huru kwa mujibu wa katiba. inakuwaje unawazungumzia watu????
Hakika wewe ndio unaejua watanzania wanahitaji nini,sifa zako za uchapakaz hodari,ufuatiliaji,umakini,usikivu zinakupa asilimia 100 kuingia ikulu!WEWE NDIO RAIS YETU UJAYE
Ndio mnyama gani huyu na ana kaa mbuga gani?
Khaa!! Safi sana. Ndiyo aina ya rais anayefaa kwa hapa tulipofikia. Ifike wakati mtu akiteuliwa kuwa waziri aombe muda akatafakari na mke wake kama akubali au akataeNdiye rais pekee atakayeiponya tanzania na:
JK kaleta uhuru wa maoni na kila mtu sasa anajua haki yake.
- Uvivu wa watanzania
- wizi wizi wa sehemu za kazi kwa watanzania
- ufisadi mkubwa kwa viongozi wa serikali
- mgawanyiko wa kidini na ukanda
Ni wakati wa Magufuli tena
Siajabu ajabu hapo ulipo huna kazi wala mishe yoyote eti unabakia kusema hapa kazi tu, ngj mje mshikishwe ukuta ndy mtajuaa hiki nnHapa ni kazi tu
Jamaa Naskia brain yake kuna wakati ni sometimes yes na wakati mwingine sometime noMaguful hana busara na hekima za kuwa rais. Huyu ni mkurupukaji tu