Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

hakika wewe ndio unaejua watanzania wanahitaji nini,sifa zako za uchapakaz hodari,ufuatiliaji,umakini,usikivu zinakupa asilimia 100 kuingia ikulu!wewe ndio rais yetu ujaye

nakwambİa raİs wetu nİ magufulİ na mwaka huu tanzanİa tunatoka mungu anatusaİdİa tutakua sana kİuchumİ
 
Hakika wewe ndio unaejua watanzania wanahitaji nini,sifa zako za uchapakaz hodari,ufuatiliaji,umakini,usikivu zinakupa asilimia 100 kuingia ikulu!WEWE NDIO RAIS YETU UJAYE

Inapendeza.ukisema yeye ndiyo rais wako ajaye. kwa kuwa kila mmoja wetu ana itikadi tofauti na yupo huru kwa mujibu wa katiba. inakuwaje unawazungumzia watu????
 
Ndiye rais pekee atakayeiponya Tanzania na:

  1. Uvivu wa watanzania
  2. Wizi wizi wa sehemu za kazi kwa watanzania
  3. Ufisadi mkubwa kwa viongozi wa serikali
  4. Mgawanyiko wa kidini na ukanda

JK kaleta uhuru wa maoni na kila mtu sasa anajua haki yake.
 
Hakika wewe ndio unaejua watanzania wanahitaji nini,sifa zako za uchapakaz hodari,ufuatiliaji,umakini,usikivu zinakupa asilimia 100 kuingia ikulu!WEWE NDIO RAIS YETU UJAYE

Watanzania wengi tunasema kwa sasa ni Magufuli tu
 
Hahahahahahah,huyu ndo amiri jeshi mkuu sasa,so yule jamaa anaetaka uamiri jeshi hata kutembea hawezi
 
Inapendeza.ukisema yeye ndiyo rais wako ajaye. kwa kuwa kila mmoja wetu ana itikadi tofauti na yupo huru kwa mujibu wa katiba. inakuwaje unawazungumzia watu????

Hakuna namna ya kukwepa Magufuli yeye ndiye Rais wa JMT huna hiyari kumkubali
 
mahakama ya mafisadi kuanzishwa chini ya magufuli, na itashughulikia majizi yote , magufuli anatustahili dunia inajua na watanzania wanajua
 
Hakika wewe ndio unaejua watanzania wanahitaji nini,sifa zako za uchapakaz hodari,ufuatiliaji,umakini,usikivu zinakupa asilimia 100 kuingia ikulu!WEWE NDIO RAIS YETU UJAYE

Ni wakati wa Magufuli tena
 
Ndio mnyama gani huyu na ana kaa mbuga gani?

Huyu mnyama alikimbizwa mbuga za CCM akakimbilia Jangwa la UKAWA hata hivyo toka akoswekoswe kule CCM Conservation hali yake siyo nzuri anakimbia kimbia utadhani anafukuzwa bado ukipende unaweza kutembelea hilo jangwa na kibali anatoa mbowe kwani wakazi asilia wa hilo eneo walikimbia mapema kwa hofu ya kushambuliwa na huyo mnyama hatari na mmojawapo ni Dr. Slaa Padre wa ukweli.
 
Ndiye rais pekee atakayeiponya tanzania na:
  1. Uvivu wa watanzania
  2. wizi wizi wa sehemu za kazi kwa watanzania
  3. ufisadi mkubwa kwa viongozi wa serikali
  4. mgawanyiko wa kidini na ukanda
JK kaleta uhuru wa maoni na kila mtu sasa anajua haki yake.
Khaa!! Safi sana. Ndiyo aina ya rais anayefaa kwa hapa tulipofikia. Ifike wakati mtu akiteuliwa kuwa waziri aombe muda akatafakari na mke wake kama akubali au akatae
A%20S%20shade.gif
 
hapa kazi tu mabadiliko mwachie kinyonga fanya kaz kwa nguvu uadilifu na uaminifu mabadiliko yanakuja na magufuli nasema tena hapa kazi tu
 
Anayeichagua CCM anamaanisha kuwa anao uwezo wa kumlipia mwanaye A level hadi Chuo Kikuu.
 
Back
Top Bottom