Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

Huyo kijana angeelewa huyo anayempa mkono ni mtu wa aina gani na anafikiri nini kuhusu yeye katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi nina hakika angekimbia mbio kabisa. Ngoja niishie hapo, lazima kuna watu wamenielewa.
ImageUploadedByJamiiForums1445415953.524767.jpg
 
Lumumba acheni kujitekenya bana.... tulieni zimebaki siku 3 tu ... tutajua kama mnayoyasema ni kweli
 
Inapendeza.ukisema yeye ndiyo rais wako ajaye. kwa kuwa kila mmoja wetu ana itikadi tofauti na yupo huru kwa mujibu wa katiba. inakuwaje unawazungumzia watu????

If you are not among them, then it is better to keep quiet,hii ni sawa na pilipili ya shamba, amejiongelea yeye na wengine wanaomshabikia Magufuli,
 
Hahahahahahah,huyu ndo amiri jeshi mkuu sasa,so yule jamaa anaetaka uamiri jeshi hata kutembea hawezi

Hata Akiwa Ktk Wheelchair Kama MWAI KIBAKI, Kura Yangu Ni Kwa Mh. Lowassa Tu!!! Coz Kazi Ya Rais Si Kukagua Gwaride Tu!! Kwani Maendeleo Ya Mtanzania Yanatokana Na Rais Kukagua Gwaride!!!!!!???
 
Hakika wewe ndio unaejua watanzania wanahitaji nini,sifa zako za uchapakaz hodari,ufuatiliaji,umakini,usikivu zinakupa asilimia 100 kuingia ikulu!WEWE NDIO RAIS YETU UJAYE

wewe? Uandishi gani huu? Rais yetu maanake nini? Jifunze kuandika ndo utuambie ulijuaje kuwa huyo Magufuli anayajua matatizo ya watanzania? Kama anayajua ni kwanini anashangaa kila anapokutana na changamoto? Binafsi simchagui rais mshangao na anayejua kucopy na kupaste hoja za wengine. Na pia rais mpiga push-up mwambie ikulu siyo gym
 
Huyu jamaa ndio maana hata mke wake hamsaidii, maana anajua tu anaweza kuoa mke wa tatu ukichanganya
na ule mchepuko uliohongwa nyumba jumla watano

mtu asiye kaa kuturia na familia yake, mpaka mke wake hataki kumsupport katika kampeni nyinyi munaona jambo la kawaida hilo?

Hivi kuna mwanamke asiye penda maendeleo ya mume wake?
 
unapoutaja ufisadi kama moja ya janga la taifa, na ukimtaja magufuli na lowassa, nani anastahili kupewa usmamizi apigane nao?
 
oin Date : 18th August 2015
Posts : 2,063
Rep Power : 722
Likes Received346
Likes Given3
 
Back
Top Bottom