Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

  1. Dr Magufuli ana historia ya kutokupendelea.
  2. Na ndiyo maana tunasema tunahitaji mtu ambaye atakuwa rais wa watanzania bila kujali kujuana.
  3. Tunahitaji rais atakayesema wewe na wewe umekula rushwa nakufukuza kazi.
  4. Tunahitaji rais ambaye akiteua baraza la mawaziri wateule wasifanye sherehe bali wafanye vikao vya kifamilia ili aone kama anaweza au hawezi.
  5. Hakuna mwingine atakayeyaweza hayo majukumu zaidi ya Dr Magufuli.
  6. Hana kujuana wala huwa hapepesi macho kwenye mambo ya kipumbavu pumbavu.

Kura yangu lazaima nimpe Dr Magufuli 25/10 kwa sababu zaidi ya 95% ya watanzania wanamkubali

Huyo ndugu yake ana itwa nani?.
 
weka 105% kabisa.... ili ujiliwaze mapema... maana ukiwa na donge shingoni kuanzia leo mpaka LOWASSA anaapishwa kuwa RAIS wako unaweza ku burst bichwa lako kwa hasira ya kushindwa...
 
Magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli
 
natumia fursa hii kuandika ujumbe huu mfupi wa kuwaambia kuwa tunaelekea kuchagua rais kwa siku tatu zijazo.rais ambaye ndiye mwenye uelekeo wa kiuongozi wa nchi,rais ambaye ndiye amiri jeshi mkuu,rais ambaye ndiye nendo kuu ya kiutawala kwa taifa.
Tumchague rais ambaye anapenda kufanya kazi,kazi ambaye ndiyo msingi mhimu ,kazi ambayo ndiyo kipimo cha maendeleo,tumchague rais mwadilifu,rais mwenye siha njema ,rais asiye na makuu,rais ambaye hayupo kwa ajili ya kufurahisha makundi ya ambyo yamemweka ili kujinufaisha kwa kupitia mgongo wa rais
kwa kumalizia napenda tumchague rais mpenda kazi kwa kwa sababu tutajifunza kutoka kwake .
 
Watanzania, tujenge nguvu na tujipange vizuri na tuwajibike kwa kufanya kazi kwa nguvu zote ili kuboresha maisha ya mtu mmoja mmoja na hatimaye taifa zima liweze kupata maendeleo ya dhati na ya kweli.
 
Magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli
 
Source Kevoo_keroo
 
Last edited by a moderator:
ANA PUMZI
Anatetea amani bila hila
Hataki ufisadi.
Hataki ukanda ukabila na udini
 
Sina sababu ya kumjua lowassa kwani hii nchi naijua vizuri sana kama angetokea kiongozi mwenye haiba na hii nchi watu wangewa na maisha mazuri sana kwa sababu ya utajiri wake kama wiki sita zilizopita nilikua kule nchini Argentina kwenye jiji la Buena Aire nikiwa pia natokea Saint Louis Marekani watu wote wa kitanzania waliniambia wanashindwa kuja kukaa Tanzania kwa sababu ya umasikini na mfumo wa kiutawala uliopo nchini kwetu

Waambie waendelee kukaa huko huko
 
MAGUFULI -
1. Kauza nyumba za Serikali hadi kwa michepuko na ndugu zake wasio watumishi wa Serikali na kulifanya Taifa kupata hasara kwa baadhi ya watumishi wake wa ngazi za juu kuishi mahotelini kwa gharama kubwa
2. Amekamata meri ya samaki pasipo kutumia akili kwa kukurupuka na kulisababishia hasara Taifa kwa kutakiwa kulipa mabillion baada ya kushindwa kesi.

3. Wizara anayoiongoza magufuli imepoteza Tsh. Billion 262 ambazo yeye kama waziri alishindwa kuzitolea ufafanuzi Bungeni hivyo ni wazi ndio zinazotumika sasa katika kampeni.
4. Akiwa kama waziri wa Ujenzi amesimamia ujenzi wa barabara ulio chini ya kiwango huku gharama zilizotumika ni kubwa, bila kusahau Taifa kupata Hasara ya kulipa riba kwa wakandarasi kwa wizara yake kuchelewa kuwalipa hao wakandarasi.

LOWASSA.
1. Anatuhumiwa na Kashifa ya RICHMOND ambayo taifa liliingia mkataba na TANNESCO wanalipa Million 152 kila siku,
-RICHMOND ilizaliwa ikazaa DOWANS na DOWANS naye amemzaa SYMBION POWER na kwa kumbukumbu zangu SYMBION POWER alipokuja Obama aliizindua na kuisifia kwelikweli.
- Ebu tujiulize hii SYMBION POWER ni ya nani? na ni nani anayepoea hizo Million 152 kwa sasa kutoka TANNESCO?

Naomba mwenye ufafanuzi wa Lowassa kaliingizia taifa hasara ya Tsh. ngapi aweke humu tusiishie kuongea tu huku kiuhalisia hatuna takwimu zozote tunaishia porojo, kwa Magufuli nimeweka wazi nini alicholipotezea taifa hili.

Symbion ni ya Lowassa na Rostam Aziz
 
Hata awe mzuri vipi mfumo wa ccm Hata umlete malaika, akirudi lazima aitwe ibilisi!

Mfumo wa ccm unaweza kumbadili malaika AKAWA ibilisi!
Ila sidhani kama ibilisi mwenyewe anaweza kubadilishwa na mfumo uliopo UKAWA!
Ni bora Watanzania kumchagua malaika anaweza kubadili mfumo, maana mtakapo mchagua ibilisi sidhani kama anaweza kuota kujibadili awe malaika na kuboresha mfumo!
 
Ulitaka aitwe na nani? Muite wewe na roho yako isiyo na shukrani.
haha....pengine ungekuwa na akili ungejaribu tetea kwamba utiifu wake ni kwa nani na nani anastahili pata utii wa magufuli.Magufuli hana utii wa wananchi.Sasa wapuuzi km nyie mnaweka utii km sifa ya kuombea utii wa kwa wananchi.Utii ni useless.Kwanza ni kuonyesha wananchi kwamba kumchagua ni kurudisha hayo makai ya ccm?
 
Ni mnyenyekevu kwa wananchi
 
Back
Top Bottom