nimetizama na kfuatilia kampeni za takriban siku 57, nimegundua yafuatayo
1. Magufuli anayo afya makini kuliko lowassa,hata ongea na changamka zao kwa kusisitiza inadhihirisha magufuli yuko imara.
2. Magufuli anazo hoja madhubuti kuliko lowassa ambayue hata hasikiki anabaki kubwawajika tu,hajielewi.
3. Magufuli amekutana na wananchi wengi sana kuliko lowassa na hiyo inadhihirisha kuwa magufuli anajali sana wananchi wa tanzania kuliko lowassa.
4. Magufuli amezunguka kwa gari kila mkoa na wilaya za tanzania wakati lowassa amezunguka kwa chopa maeneo machache sana sana.
5. Magufuli amepiga vita ufisadi na rushwa kila alikoenda wakati lowassa anaogopa hata kutamka rushwa na ufisadi kwa yeye ndie baba wa ufisadi na rushwa.
6. Magufuli anaonekana kabisa kuwa na dhamira na nia njema kwa taifa lake, wakati lowassa anaonekana kuwa na nia chafu na ovu kwa taifa
mwisho tumchague mtu makini magufuli kwa maendeleo ya tanzania yetu.