Dr.Joyce Ndalichako atakiwa kujiuzulu.

Status
Not open for further replies.
Ukipewa namba ya mtahinniwa hujui huyu aliyefanya bible knowledge ni wa aina gani na aliyefanya Islamic Knowledge ni wa aina gani? think!!!!

Ukweli ni kwamba ISLAMIC KNWOLEDGE NI NGUMU, nimesoma na wanafunzi waliokuwa wanasoma ISLAMIC KONWOLDGE na walikuwa wanalalamika ni ngumu sana, Huwezi kuamini wengine decided kusoma BIBLE KNOWLEDGE na walifaulu...

Point zako hazina mshiko, unataka kuniambia kwenye finals syestem za kompyuta kuna wakristo tu na kwamba hakuna waislam, na hao wakristo ni wanaochukia waislam kuwafelisha islamic knowledge kwa ajili gani???!! au kuna waislam na wanaoungana na wengine wasiopenda waislam wafaulu islamic knowledge??!

UJINGA wako ndio ULEVI WAKO...!!!
 

Fuatilia utapata majibu kwenye tume baada ya uchunguzi.Uchakacuaji upo siku zote hujui kuwa za mwizi ni arobaini? Tatizo hapa sio mkuu wa baraza ana dini gani ila kinachoangaliwa ni uadilifu wa mtu.Kinachonishangaza sana ni kuona baadhi humu jf wannaona sawa tu watu kuhujumiwa kisa eti waliofanyiwa ni waislamu.Usiangalie uislamu wao angalia je kuwafanyia hivyo ni sawa? msigeuxe hii kuwa ni ajenda ya dini hapa kinacohojiwa ni dhulma.mtu yeyote muadilifu hawezi kutete wizi eti kwa vile aliyeiba ni wa dini yake au kabila lake
 
Mtihani gani unasahihishwa kwa namba wewe usilolijua ni kama usiku wa giza.
 
The best thing kama wanaona wanaonewa waunde baraza lao watunge mitihani yao ya Islamic knowledge, na wasahihishe wenyewe na wawe na vyuo vyao. baaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaasi

Hatuwezi kuwa na double standards. Hapa tunaanza kuona madhara ya mahakama ya kadhi na kuchomelea msumari wa moto kitu hicho kisiwepo kabisa. Kama dhahabu inajaribiwa kwa moto hata ufahamu wa islamic knowledge utajaribiwa kwa mtihani uliofanywa vyema na kusahihishwa. Ndalichako hajatunga, kusahihisha wala kucompile mitihani wameshiriki waislam. Msidandie hoja ya UAMSHO mkapelekea kuchoma moto vyeti vyetu bila sababu ya msingi.
 
Like it or not, Christians and Muslims are going to be seeing a lot of each other. Together they have nearly four billion adherents, making up more than half of the world's population.


Both religions are growing, with Muslims (now about 1.5 billion) increasing faster than Christians (about 2.2 billion) mostly because of birthrates. The adherents of both are global. Both touch every corner of the earth. Adherents of the two faiths are becoming neighbors.


Christians and Muslims have a great difficulty in understanding one another, which is understandable because they are structurally and conceptually different, variations dating back to their origins and their founders.


Neither Jesus nor Muhammad set out to establish a new religion. They each attempted to restructure the society and the religious practices that they found.


In the case of Jesus, he was born into a community that was controlled by a heartless economic system that had succeeded in corrupting the leadership of the dominant religion, Judaism. Jesus led a rebellion, not of swords but of ideas seeking to reform theological understandings.


When Jesus took his reform movement to Jerusalem, he was greeted as a nuisance and was killed by Rome's occupying authorities, supported by cooperating religious leaders. He was executed by being hung on a cross, a cruel and humiliating death that was meant to end his challenge to the powers-that-be.


Instead his followers turned the cross into the most powerful symbol in the history of Western civilization. Jesus was deemed the son of God.


To his followers, Jesus died on the cross for the sins of the world, a sacrifice that is celebrated in Christian worship as communion (or mass). Christians argue about the meaning of the communion service, but communion remains fixed as the heart of Christian worship centered on the death of Jesus on the cross.


While Christianity was the outcome of a failed reform movement, Islam was the result of a highly successful reform movement.


In the 7th century CE, Muhammad, a man of spiritual and social sensitivities, observed that his Arab people were constantly warring with one another and that wealth and the pursuit of wealth were driving people to terrible treatment of one another.


According to Muslim tradition, God spoke to Mohammad and gave him holy words to be shared with the Arab people. The message to the Arab communities was simple: "There is no God but Allah" and Allah's instructions were written down by Muhammad in a holy book, the Qur'an.


The people of Mecca responded to the message and the city was transformed. In a period of about 10 years, Mohammad and Islam had put down all challenges and were on the path to regional domination. In contrast to the failure of the Jesus revolution, the revolution led by Mohammad was highly successful.


However, Muhammad, who died only 10 years after writing the Qur'an, claimed no divine status for himself. He was the prophet chosen to pass down God's revelation. The revelation was what was central, with the Qur'an becoming Islam's unquestioned Holy Book. (In the Qur'an, Jesus is regarded as an earlier prophet, or messenger, from God.)


The central act of worship for Muslims is an act of obedience. Faithful Muslims are required to prostrate themselves in prayer to Allah five times daily, always facing toward Mecca. The great symbol of devotion is the Qur'an.


Because of their origins, the differences between Islam and Christianity are real. Christianity is symbolized by the cross and God's sacrifice of his only son, while Islam is symbolized by a Holy Book containing Allah's instructions. One calls for faith, the other calls for an act of obedience.
 
Duh! Kazi ipo Tz!

 

Unachopinga nini mbona hueleweki? Hata kama somo ni gumu halimaanishi watu wafelishwe.Wamefelishwa na tayari ushahidi umepatikana ndio maana baraza limerekebisha.Lakini kurekebisha hakutoshi inabidi wachukuliwe hatua za kinidhamu na kisheria kwamba wanalipwa pesa za walipa kodi halafu wanawafanyia watu madudu.Ufisadi hauna dini,wanaofanya haya hawatumwi na dini zao.Nisawa na wanaoiba mali za uma nao utawatetea kwa vile ni wa dini yako? amka acha kulala fofofo!
 

mie yangu macho!
 
Basi na akitolewa huyo Dr. Ndalichako itabidi mumuweke Sheikh Ponda katika hiyo nafasi kama hata yeye mwenyewe hajashangaa hayo madudu ya waislamu wanayofanya kwenye mtihani. Tatizo lao wanawaharibu watoto akili na mafundisho yao ya madrasa, hata ukiangalia wale waislamu wanaofanya vizuri kwenye masomo lazima utagundua kuwa walikataa utumwa wa madrasa wakakomaa na shule. Mbona hawaongelei chochote kuhusu Kawambwa nae ajiuzulu au JK au huyo Prof. Hamisi Dihenga ambaye ni Boss wa Ndalichako?. Isitoshe somo lenyewe la Islamic knowledge halina faida yoyote hapa duniani, wanatia kelele za kuonewa tu kila siku bila ya sababu za msingi.
 

SOMA comment yangu vizuri , irudie tena na tena, inawezekana uwezo wa kusoma na kuelewa ni tabu kwako....!!!

UJINGA wako ndio ULEVI wako.
 

Tanzania yetu imeporwa ki ajabu ajabu. NECTA haijawahi kuwa shwari tangia iwepo kwa sababu za kipuuzi kama hizi tunazotoa humu kwa sasa. Anayefeli anamtafuta mchawi wake, anayeiba akagundulika anahalalisha kutokuiba kwake na kila tunapotaka kujenga taifa lenye haiba ya kisomi tunaishia kuanzisha siasa zisizo na maana. Tukumbuke mitihani ilipovuja sana waziri wa elimu alikuwa Prof. Kapuya alipoambiwa ajiuzuru akasema yeye hasahihishi mitihani waliosahihisha ndo wajiuzuru...! Dr. Joyce ameingia NECTA baada ya ufisadi wa aliyemtangulia na akafika akasafisha kwa kufukuza zaidi ya watu 79 ambao walikuwa hawana sifa kwa baraka ya JK na ndo kukawa na nafuu kidogo katika kutoa matokeo!!! NECTA imeanzisha mitihani ambayo ni 'competence based' watoto wetu tunaowakaririsha mashuleni wakafeli tunataka wasifeli wakati hawajajua kikwelikweli. Ukweli ni hakika mfumo wetu wa elimu ni kama JAMVI au KOKORO kuzoa vyote kama maji taka ili huko kazini, anayepaswa kufanyiwa upasuaji wa kichwa akikatwa mguuu tuseme waziri wa afya ajiuzuru na wakurugenzi wa Muhimbili National Hospital. Hapa ndipo tulipo watanzania. Jifunzeni kwa wenzetu wote hata ulaya hakuna nchi ambayo watoto wanaanza darasa la kwanza hadi kidato cha nne bila kuwa na kigezo cha kupanda toka darasa moja hadi lingine. Huu utafiti wa TWAWEZA wa watoto 7 kati ya 10 walioko darasa la saba hawajui kusoma hadithi ya Kiswahili ulitarajia hao wakiingia shule za kata wajue kusoma kwa muujiza? Na vipi wakifanya mtihani itakuweje? Kuna suala la kujadili hapa, elimu yetu kama watanzania imevurugwa na wanasiasa lazima tukubaliane katiba isiwaruhusu kufanya wanavyopenda, vinginevyo tutalaumu huyu na yule na kuleta udini usiokuwa na sababu. Kufeli kwa wanafunzi ni masomo yote wala si upande wa islamic knowledge tu, hata Bible Knowledge walifeli labda wao wamevumilia kufeli kwa kuwa wanajua mfumo tunaoufuata umeharibiwa na wanasiasa wetu.

Tusikubali hoja mufilisi kwa matokeo mufilisi
 
Wewe nae utajiita GT? Ushasikia kuna mkristo amefanya mtihani wa maarifa ya kiislamu? Mtihani wa maarifa ya kiislamu unafanywa na mwanafunzi wa kiislamu,au uliambiwa mitihani ya dini inachanganywa halafu inasahihishwa kwa pamoja...!!??
 

Hivi ni government au president ndio ana-sack CEO wa government agency? Hivi hooligans hawana dini? Kama Islam ina promote peace na love mbona waislam karibu wote vitendo vyao ni kinyume?

Mimi nilifikiri kuwa waislam wamefelishwa masomo kama Physics, History na kadhalika kumbe la. Sasa tatizo ni poor marks kwenye Islamic knowledge au kule kutamka proportion ya ufaulu?
 
Minadhani wote humu mnabishana kihisia na kimtazamo wa dini,na wengi hamtaki kuangalia ukweli uko wapi. Suala linalolalamikiwa ni usahihishaji mbovu uliofanywa na Baraza..sasa swali la kujiuliza je hoja hii ina ukweli? Lakn sio mara ooh uislamu hv mara sijui vile..
 

Vitendo gani kinyume kwa waislamu karibu wote? don't generalise.Yaewzekana ninakufahmu,tunaishi jirani,tunafanya kazi ofisi moja.Ni kitendo gani kinyume niliwahi kukufanyia? Tuna jukumu sote kupalilia utangamano wetu kama watanzania na hili hatuna budi tunalazimika tulifanye vinginevyo tuanjichimbia kaburi wenyewe.Tayari nchi yetu ina watu wa kutosha kwa pande zote waislamu na wakristu,sio rahisi kundi moja likafuta lingine hata kama lingetamani.Hivyo kama tunawatakia mustaqblal mwema wajukuu zetu lazima tujifunze kuheshimiana.Kama waliofelishwa ni waislamu wanayo haki ya kudai haki yao tusiwakwaze,vilevile wakristu wasipotendewa haki pahala wasikwazwe kwa sababu ya dini yao.Hata kama hawakufelishwa physics au hesabu bado haimaanishi ndo wakifelishwa islamic basi iwe ni haki.Kwani elimu ni physics tu? islamic ni social science kama ilivyo economics au geography.Ndio maana kuna islamic economics,islamic banking,islamic history nk.
 
Kwa watu ambao hamjasoma kama wewe , unaweza fikiria kuwa gazeti ni kielelezo..ila gazeti ni sehemu ya kupashana habari na kelimishana ila sio reliable source of authority..gazeti halina mashiko..kama lingekuwa tangazo kupitia gazeti la serikali nigeanza kufikiria..hivyo mpaka hapa naona huu ni ***** tu..na stori za baa..
 
Jamaa wataandama nchi nzima
 
kipindi mimi nafanya application university of dar es salaam, marks zangu za bible knowledge hazikuwa counted kama somo kamili, kisa kupunguza idadi ya wakristo wengi wanaokwenda vyuo maana kabla ya hapo bible knowledge ilikuwa inahesabika kama somo kamili, hivyo kwa uelewa wangu masomo ya dini hayahesabiki kama masomo kamili katika kuhesabu ufaulu wa mtu kimadaraja , yanachukuliwa kama masomo ya ziada, kama mfumo huo wa zamani ambao sisi ulitumika katika kupata udahili vyuoni uliondolewa na unatumika sasa..basi unaweza sema ni tatizo..lakini je ni wakristo ndio wanaosahihisha mitihani ya islamic knowledge?? sio nyie wenyewe waislamu?? tunaweza sema labda maswali yalikuwa magumu, au usahihishaji ulikuwa mbaya, lakini siwezi sema wasahihishaji walikuwa wabaya..kama ishu yenyewe ni hivyo basi na sisi wakristo tulionyimwa kutumia alama zetu za bible knowledge katika udahili wa vyuo tulalamike kubaguliwa..wacheni kurusha mawe mkiwa ndani ya jumba la kioo..huu ni unafiki mkubwa na kukosa busara..someni na muache kutafuta njia za mkato kufikia malengo..uvivu tu..mnaishia kumlaumu kila mtu..horrible..
 
Waislamu wameamka baada ya miaka mingi ya kuwa chini ya utawala adhimu
 

Some la dini haliesabiwi katika points za kupata division ya mwanafunzi. Pia vyuo vingi vya elimu dunia haviingizi wanafunzi kwa kuangalia kama wamefualu somo la dini. Hili somo linasaidia tu kama mwanafunzi anataka kwenda kusoma zaidi mambo ya dini. sio kuwa daktari, enginia, mhasibu, lawyer( elimu dunia). Sasa hili la waislam kufanyiwa hujuma wasiendelee na elimu ya juu limetoka wapi?

Acheni kulalamika waambieni wanafunzi wenu wasome kwa bidii. Wenzenu wana mashule na vyuo vikuu kibao, nyie mnabaki kulalamika tu. Of course nadhani waislamu nao wanaruhusiwa pia kwenda kusoma kwenye hizo shule na vyuo kama wana sifa zinazotakiwa. Jengeni mashule na vyuo vikuu vyenu au wapelekeni watoto wenu huko kwenye shule za wenzenu kama mnataka kushindana nao.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…