Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtihani unasahihishwa kutumia namba za mitihani sio majina, wanachagua vipi hawa waislam tuwafelishe na wale wakristo tuwafaulishe...????!!
Huyu ni muislam wa kumfelisha upo kwenye kitu gani, kama ni jina mbona kuna wakkristo wengi wanaitwa juma/hassan na wao hao utasemaje wakifaulu??
TATIZO ni UONGOZI wa JUU legege usioweza kukemea mambo kama haya ya KIJINGA!!!!!!!
Bakwata bila shaka watakuwa wameshauriwa na ccm ili wateke ajenda maana waislamu kwa pamoja tumekasirishwa sana na hivyo serikali ya ccm inahofu ya nini kitatokea ndio maana unaona hawa jamaa wameingia lakini hawana lolote la kuwatetea waislamu.
..kwa nini isiwe kawambwa? ama kikwete ama bilal>?
Unaweza kutoa mifano ya idara zinazoongozwa na waislamu na namna wanavyopromote uislamu katika hizo idara? Unajua kabisa kwamba kama kuna idara zinazoongozwa na waislamu hazizidi asilimia 5 ya idara zote za serikali.Lakini angalia sehemu zote zisizoongozwa na waislamu ndo utaona jinsi wanavyopromote dini yao,nenda TRA kwa mfano fungua computa ya kila mfanyakazi uone.Subiri sikukuu zao uone namna pesa zetu walipa kodi zinavyotumika kupamba taasisi za serikali,kununuliana kadi na kusherehekea!
Aisee hapa kwenye swala la computer za wafanyakazi wa TRA na swala la kununua kadi na kushehekea ktk sikukuu za dini ya kikristo umeniacha hoi sana,
Umelalamika kitoto sana.
hebu re-think na uache yale maswala ya "eti yule kanunuliwa gauni la sikukuu na mimi sijanunuliwa basi mimi sipendwi"
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Mitihani ya Islamic Knowledge kuanzia mwakani itasahihishwa na Immams misikitini!
Walianza kudai mahama yao,,taratibu naona wameanza kudai baraza lao la kusahihisha mitihani yao ya dini, huku ubwabwa wakati wa kusahihisha ulipiwe na serikali.
Mtihani unasahihishwa kutumia namba za mitihani sio majina, wanachagua vipi hawa waislam tuwafelishe na wale wakristo tuwafaulishe...????!!
Huyu ni muislam wa kumfelisha upo kwenye kitu gani, kama ni jina mbona kuna wakkristo wengi wanaitwa juma/hassan na wao hao utasemaje wakifaulu??
TATIZO ni UONGOZI wa JUU legege usioweza kukemea mambo kama haya ya KIJINGA!!!!!!!
Lakini alichoeleza mufti ni kuwa somo la islamic ndio watu wamefelishwa hivyo kupunguza hali ya ufaulu, hakuzungumzia fizikia wala kidhungu!
Commenting on recent developments in Zanzibar, the Mufti said those who were involved in violence, theft and vandalism were mere hooligans and not muslims.