Dr.Joyce Ndalichako atakiwa kujiuzulu.

Dr.Joyce Ndalichako atakiwa kujiuzulu.

Status
Not open for further replies.
Kwa nini BAKWATA hawasemi Waziri wa Elimu ajiuzulu? Wanazunguka nini hawa BAKWATA? Kama kweli wana nia njema na sector ya Elimu basi waseme Waziri wa Elimu Shukuru Kawambwa hafai.
 
Mtihani unasahihishwa kutumia namba za mitihani sio majina, wanachagua vipi hawa waislam tuwafelishe na wale wakristo tuwafaulishe...????!!
Huyu ni muislam wa kumfelisha upo kwenye kitu gani, kama ni jina mbona kuna wakkristo wengi wanaitwa juma/hassan na wao hao utasemaje wakifaulu??

TATIZO ni UONGOZI wa JUU legege usioweza kukemea mambo kama haya ya KIJINGA!!!!!!!

Ukipewa namba ya mtahinniwa hujui huyu aliyefanya bible knowledge ni wa aina gani na aliyefanya Islamic Knowledge ni wa aina gani? think!!!!
 
Bakwata bila shaka watakuwa wameshauriwa na ccm ili wateke ajenda maana waislamu kwa pamoja tumekasirishwa sana na hivyo serikali ya ccm inahofu ya nini kitatokea ndio maana unaona hawa jamaa wameingia lakini hawana lolote la kuwatetea waislamu.

Wote tuwe na muafaka kuwa udini umetumeza kwani comment zote zinazotolewa zina udini. Hakuna anayeelewa kwa undani ni nini kinafanyika NECTA bali wote tuna speculate tukizingatia dhamira na utashi wetu binafsi wa kidini.
 
..kwa nini isiwe kawambwa? ama kikwete ama bilal>?

Umesahau kuwa na mtendaji mkuu wa wizara ambaye ndiye boss wa Ndalichako ni Alhaj Profesor Hamis Dihenga, BTW, inasikitisha sana unapomlaumu maid juu ya mlezi wa mtoto wako.
 
Lakini alichoeleza mufti ni kuwa somo la islamic ndio watu wamefelishwa hivyo kupunguza hali ya ufaulu, hakuzungumzia fizikia wala kidhungu!
 
Unaweza kutoa mifano ya idara zinazoongozwa na waislamu na namna wanavyopromote uislamu katika hizo idara? Unajua kabisa kwamba kama kuna idara zinazoongozwa na waislamu hazizidi asilimia 5 ya idara zote za serikali.Lakini angalia sehemu zote zisizoongozwa na waislamu ndo utaona jinsi wanavyopromote dini yao,nenda TRA kwa mfano fungua computa ya kila mfanyakazi uone.Subiri sikukuu zao uone namna pesa zetu walipa kodi zinavyotumika kupamba taasisi za serikali,kununuliana kadi na kusherehekea!

Aisee hapa kwenye swala la computer za wafanyakazi wa TRA na swala la kununua kadi na kushehekea ktk sikukuu za dini ya kikristo umeniacha hoi sana,
Umelalamika kitoto sana.
hebu re-think na uache yale maswala ya "eti yule kanunuliwa gauni la sikukuu na mimi sijanunuliwa basi mimi sipendwi"

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hawa BAKWATA ningewaona wana akili sana kama wangelitaka Raisi wa nchi ajiuzulu au Waziri wa Elimu.

Lakini eti Katibu mkuu wa Baraza. PTYUUUUUUUUUUUUUUUUU!!!! KICHEFUCHEFU KABISA.



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Mitihani ya Islamic Knowledge kuanzia mwakani itasahihishwa na Immams misikitini!
 
huyo joice ndalichako ndio msingi wa jengo la NECTA?
aondoke amefanya madudu mengi tu pale.kila baada ya mitihani kuvuja anakuja na ngonjera za ajabuajabu tu.
apewe mwenye uwezo wa kusimamia hiyo taasisi ya uma.
huyu si yule aliyekuja kutusomea mistari ya yule kijana aliyeamua kuchana vesi kwenye pepa?kile ndo alichoona cha kuja kuuza sura kwenye tv?

RAIS TUONDOLEE HUYU MTU KABLA YA KESHO.
 
Napata shida sana kuwaelewa BAKWATA.

KWani mitihani wanaosahihisha ni Wakristo hadi wafikie kusema kuna upendeleo wa kidini katika matokeo?????

Na pia kwenye mitihani hatuandiki majina ni namba tu ya mtahniwa. Sas msahihishaji atajua vipi kama huyu ni mkristo au muislamu????

NDugu zangu BAKWATA nawapa ushauri wa bure, Sisitizeni wanafunzi wasome, acheni kusisitiza elimu ya Madrasa!!!!!

Hakuna mtihani unaotungwa na Baraza la mitihani wa somo la Madrasa na pia elimu hiyo huwezi kuitumia kuomba ajira ofisi yoyote. Mnawapumbaza watoto kisha mnalalamika.

JEngeni mashule kwa wingi na siyo madraa kwani kila kona ya mji ukupita utakuta Madrasa na misikiti, lakini hakuna huduma za jamii kama Shule, Hospital.

NI WAKATI WA KUBADLIKA SASA.



MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Aisee hapa kwenye swala la computer za wafanyakazi wa TRA na swala la kununua kadi na kushehekea ktk sikukuu za dini ya kikristo umeniacha hoi sana,
Umelalamika kitoto sana.
hebu re-think na uache yale maswala ya "eti yule kanunuliwa gauni la sikukuu na mimi sijanunuliwa basi mimi sipendwi"

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Umeruka mada kitoto.Soma vizuri thread yangu sikulalamika bali nilikuwa namjibu aliyelalamika kuwa idara zinazoongozwa na wailamu zina udini nilimuuliza swali atoe mifano,ndo mimi nikampa mifano hiyo unayodai eti ninalalamika.Kama unataka basi mjibie lakini usiruke mada
 
NAULIZA TU HIVI MUFTI ELIMU YAKE NI YA KIDATO CHA NGAPI VILE?
mwenye cv yake atupe hapa. elimu ya dr mokiwa, pengo,malasusa,nk zinafahamika vema.
cha kushekesha sasa mitihani ya islamic knowldege wanasahihisha waktristo?
ukiangalia waislamu wenye uelewa huwa hawalalamiki hovyo.
nawshauri wamchague dr jaji Ibrahim Juma kuwa mufti wao
ni mtu aliebobea ktk dini na hana makuu.huyo atawasaidia sana ndugu zangu waislamu
 
Walianza kudai mahakama yao,,taratibu naona wameanza kudai baraza lao la kusahihisha mitihani yao ya dini, huku ubwabwa wakati wa kusahihisha ulipiwe na serikali.
 
Walianza kudai mahama yao,,taratibu naona wameanza kudai baraza lao la kusahihisha mitihani yao ya dini, huku ubwabwa wakati wa kusahihisha ulipiwe na serikali.

walivyo wapuuzi? very soon wataanza lakini sijui kwa serikali ipi itakayo wasikiliza..!!
 
Mtihani unasahihishwa kutumia namba za mitihani sio majina, wanachagua vipi hawa waislam tuwafelishe na wale wakristo tuwafaulishe...????!!
Huyu ni muislam wa kumfelisha upo kwenye kitu gani, kama ni jina mbona kuna wakkristo wengi wanaitwa juma/hassan na wao hao utasemaje wakifaulu??

TATIZO ni UONGOZI wa JUU legege usioweza kukemea mambo kama haya ya KIJINGA!!!!!!!

Tatizo haliko wakati wa kusahihisha ijapokuwa pia wakti huo shule inayosahihiswa hutajwa na kujulikana,kama ni ya kiislam,kikristu au serikali itajulikana na hivyo kuwapa mwanya wasahihishaji wenye chuki na mojawapo ama waislam,wakristu au serikali kusahihisha vibaya.Uchakachuaji hufanyika wakati wa kutoa Grade yaani A,B,C,D,E,S AU F.Mtahiniwa mwenye A anaweza kwa makusudi akapewa F na viceversa maana wakati huo ndo jina la mtu linatambulika.Ukifuatilia matokeo ya kidato cha sita mwaka huu utaona baadhi ya shule za kata eti zimeongoza wakti zinajulikana hazina uwezo huo.Ni matokeo ya uchakachuaji
 
Nashangazwa sana na serikali ya jk, kukaa kimya wakati kila kukicha vitendo vinavyo ashiria uvunjifu wa amani na uchochozi vinavyo fanywa na watu,tena viongozi wa dini. Kukaa kimya kwa serikali kuna maanisha kuunga mkono msimamo wa waislam.
Naomba ni waulize maswali machache wanao unga mkono msimamo wa BAKWATA na vikundi vingine.
.je akisha ondoka ndalichako mnataka nani akae badala yake?
.Ni kwanini madai yenu yameanza kipindi hiki na sio kipindi cha nyuma au mmeanza kuonewa mwaka huu?

.Mnawezaje kutuhakikishia madai yenu hayana msukumo wa kidini?

.je mnawezaje kutuhakikishia kuwa hamjui ni jinsi gani mitihani husahishwa?

.je ndalichako ni msahishaji mitihani?

. Je mnajuaje atayewekwa hata waonea?

Nashauri muda huu mhuutumie kuwa himiza wanafunzi kusoma kwa bidii maana mitihani ya kidato cha 4&6 ina karibia. Msiwahusihe wanaafunzi kwenye haya mambo maana watapoteza muda mwingi na matokeo yake watabuluzwa kwenye mitihani kama kawaida.
 
kumbe hakusema wanafelishwa masomo yote ila ni islamic knowledge tu,😛oa

Lakini alichoeleza mufti ni kuwa somo la islamic ndio watu wamefelishwa hivyo kupunguza hali ya ufaulu, hakuzungumzia fizikia wala kidhungu!
 
Commenting on recent developments in Zanzibar, the Mufti said those who were involved in violence, theft and vandalism were mere hooligans and not muslims.

99% of zanzibaris are muslims..tumueleweje huyu sasa naye? kukurupuka kunaumbua, au moto ya yale mawe yaliyowekwa njiani yalitokea bara?
 
Wanatia huruma na wanadhalilisha uislam. Ukichukua makaratasi yenyewe unaweza kukuta wale waliopiga miswaki wameandika "YESU NIBEBE". Kwani NECTA hakuna ruhusa ya kuappeal wawaletee karatasi zilizosahihishwa. Mtu kama anataka kukuonea ndiyo akufelishe kwenye islamic knowledge ambayo haisaidii kupata chuo? Au ndiyo ilikuwa mbinu ya kupunguza zero na division four kwenye shule hizo???
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom