Dr. Joyce Ndalichako, Katibu Mtendaji wa NECTA! "It's Time To Go!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
53,857
Reaction score
121,995
Wanabodi,

Kwa maoni yangu, kitendo cha NECTA kutunga mtihani ambao siyo ili kuwakomoa "watu fulani " kulikopelekea wanafunzi kufeli vibaya ili kujustify hao kina "fulani" ni wajinga!, na kuyapeleka makaratasi halisi ya mtihani kuuanika uthibitisho wa jinsi hao kina fulani walivyo jibu utumbo yakiwemo matusi ili kupata public sympathy kujustify tatizo sio NECTA, sio mitihani wall sio usahihishaji bail ni wanafunzi ndio wajinga na vibonde, hakipaswi kuachwa bila kupingwa!.

Wengi waliangalia hili kwa jicho la juu juu juu tuu bila kujiuliza wajinga halisi ni kina nani na long impact ya ukomoaji huu wa NECTA utalifikisha wapi taifa letu in a long run baada ya matokeo hayo kujenga matabaka ya wenye nacho na wasionacho!.

Kwa sio jua Wengi wa waliofaulu ni watoto wa wenye nacho ambao wana uwezo wa kuwalipia watoto wao shule bora, na wengi wa waliofeli ni watoto wa wa wasionacho hivyo Mama Ndalichako kupitia NECTA anawanyanganya hata hicho kidogo walichonacho, unategemea mini after a long time ?!.

I think it's time up for Mama, Dr. Joyce Ndalichako to go!, not withstanding madhaifu mengine yote wenye mfumo wetu wa elimu.

Pasco.

Uthibitisho ni huu

Hii nimeikuta mahali nikaona niilete na humu ili wale wote wasio niealewa angalau waanze kuelewa kuwa matokeo haya sio bure, iko namna!.



Pasco.
 

Mkuu wangu Pasco wa JF...Heshima Mbele...

Mosi, Je, unaijua vizuri kazi ya NECTA?
Pili, Unaposema mitihani migumu una maana gani?
 
Last edited by a moderator:

Mkuu,
Kwa hoja hii bado unadhani anayetakiwa kuondoka ni Dr Ndalichako ama Waziri Kawambwa? Stop barking up the wrong tree, the real culprit is known.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Kwa mfumo wa elimu tuliyonayo ya shule za wenye nacho na wasiyo nacho nani awajibike, Ndalichako? Kajipange upya kisha urudi baadaye.
 
Sikubaliani nawe Pasco kwa hili. Tangu ameingia Dr. J. Ndalichako hapo NECTA wizi wa mitihani hamna. Kabana kona zote. Je ni yeye anayefanya wanafunzi wakose learning materials, facilities, walimu wakose teaching morale etc zinazosababisha vijana wafeli. Tutafute mzizi wa tatizo then tuchukue hatua!
 
Last edited by a moderator:
Kumfukuza Dr. Ndalichako na kumuweka mtu mnaemtaka nyie haitatatua tatizo la wanafunzi kufeli!!! Source ya tatizo hili liko kwenye failure of our education system ya kuwadharau walimu, na sasa ndio matokeo ya ubabe wa serikali kwa kutowasikiliza walimu yanaonekana. Ukipanda bangi usitegemee kuvuna viazi!!
 
shule zilizofelisha ni za serikali na taasisi zisizotoa kipaumbele kwa elimu dunia

pelekeni walimu,vitabu,wakaguzi na watoto wanaomchora Messi wafundwe maadili
 
Reactions: Kim
Elimu ni ushindani na asiyekubali kushindwa si mshindani. kuna ushindani kila sehemu mpaka kwenye elimu. inabidii tuwekezee sana kwenye elimu na kufanya mazoezi sana kuwa washindi. kama NECTA wanadhulumu watanzania tungeona special schools nao pia wangefeli sana. mwisho, MTEGEMEA CHA NDUGUO HUFA MASKINI, watanzania tubadirike !!
 
Mkuu wangu Pasco wa JF...Heshima Mbele...

Mosi, Je, unaijua vizuri kazi ya NECTA?
Pili, Unaposema mitihani migumu una maana gani?

Mkuu MKV sijasema mtihani mgumu nimesema NECTA wametunga mtihani ambao wana sio !.
 
kwa miezi kadhaa redio imaan wamekua wakiendesha kampeni ya kulalamikia baraza la mitihani hasa Dr ndalichako, zigo la lawama pia lilidondoshwa kwa wakristo 'eti kwamba wana mkono' katika kufeli kwa vijana wao (wa redio imaan)

matokeo ya 2012 yanaacha maswali mengi ambayo redio imaan wanatakiwa wajibu

Hebu tuzitizame shule mbili zote za kiislam

1. F
eza (shule ya kiislam) ni kati ya shule zilizofanya vizuri sana wakati

2. TEMEKE YOUTH MUSLIM SECONDARY SCHOOL imefanya vibaya kuliko kawaida, watoto wote wamepata 0.

hapa tunaona tatizo sio mfumo kristo (kama redio imaan wanavotaka kuaminisha wachache). nini kimewafanya Feza wafaulu na Temeke Youth wafeli? haiwezekani awe ndalichako na sitaki kuamini kwamba ni mfumo kristo (kama hawa wenzagu wanavyopenda kuuita)

NOTE: hii haina uhusiano na uislam wala na waislam hii inawahusu redio imaan
.
 
siamini haya mashudu wewe ndo umyaandika.

Mitihani ni standard huwezi kutunga ili kuridhisha watu fulani.


Wakujiuzuru ni Kawambwa.

Mnamruka kawambwa na kutupa lawama kwa ndalichako kwa kuwa kawambwa ni 'mwenzetu'???????????

Tuache unafiki

matatizo yapo wizarani
 
For sure Pasco utakuwa umetumiwa na watu flani ili watimize malengo yao waliyoshindwa kuyatekeleza ila na wewe utadondokea pua vile vile kama waliokutuma!
 
Wanafunzi hawasomi wanapenda starehe ukitaka jua kumbuka hata marian nao wana three
 
ulitaka NECTA watunge 1 + 1 ili wote wapate div 1?

with all due respect, this is too low from you
 
Pasco UCHOCHEZI JAMII (Public Incitement) una sura nyingi sana.........ikiwemo hii
 
Last edited by a moderator:
Mkuu MKV sijasema mtihani mgumu nimesema NECTA wametunga mtihani ambao wana sio !.
Okay Pasco!
Mimi nimetafsiri hilo kuwa unamaanisha ni mitihani migumu.
Naomba unieleweshe basi au udadavue ulichomaanisha ili tukusome uzuri.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…