Musukuma yuko vizuri kivitendo kwenye suala la uchumi, fedha na uwekezaji kuliko hao maprofesa wabobevu wa nadharia. Ukitaka kujua hilo fuatilia shughuli anazofanya kwenye nyanja hizo.Dah! nahisi kizunguzungu,au wame edit hapo kwenye picha wakamuweka?
Kweli kabisa mkuu,uko sahihi tunahitaji vitendo sio Porojo za Hekaya za Abunwasi.Musukuma yuko vizuri kivitendo kwenye suala la uchumi, fedha na uwekezaji kuliko hao maprofesa wabobevu wa nadharia. Ukitaka kujua hilo fuatilia shughuli anazofanya kwenye nyanja hizo.
Binafsi ninamkubali sana Msukuma kwenye ulingo wa uchumi kivitendo kuliko wanazuoni waliotufundisha nadharia vyuoni.
Usikariri wewe dunia inabadilika. Anaweza akatumia kiswahili na bado kila MTU akamwelewa.Watatumia lugha gani?
Ni kwanini vyuo vikuu wasitumie tu watu waliofanikiwa kibiashara kufundisha?Musukuma yuko vizuri kivitendo kwenye suala la uchumi, fedha na uwekezaji kuliko hao maprofesa wabobevu wa nadharia. Ukitaka kujua hilo fuatilia shughuli anazofanya kwenye nyanja hizo.
Binafsi ninamkubali sana Msukuma kwenye ulingo wa uchumi kivitendo kuliko wanazuoni waliotufundisha nadharia vyuoni.
Jimboni kafanya nini?Msukuma yuko smart sana hata jimboni kwake....anawazidi wasomi wengi tu hata maendeleo ya jimbo.
Wao wanaangalia makaratasi ila hao waliofanikiwa waitwa mara mojamoja kutoa mdahalo wa dakika kadhaa biashara imeishia hapo. Hakika kujifunza kwa mtu aliyefanikiwa ina nguvu sana kuliko hawa wazee wa kilimo cha pdfNi kwanini vyuo vikuu wasitumie tu watu waliofanikiwa kibiashara kufundisha?
Eheee. Ndiyo! Na nia yangu ilikuwa ni kukuonyesha kuwa kufanikiwa kibiashara siyo lazima kuwe ndiyo kujua biashara. Mtu kama huyo Musukuma anaweza kuwa amefanikiwa just kwa sababu yuko aggressive kwenye kuhonga!Wao wanaangalia makaratasi ila hao waliofanikiwa waitwa mara mojamoja kutoa mdahalo wa dakika kadhaa biashara imeishia hapo. Hakika kujifunza kwa mtu aliyefanikiwa ina nguvu sana kuliko hawa wazee wa kilimo cha pdf
Yote yawezekana.Eheee. Ndiyo! Na nia yangu ilikuwa ni kukuonyesha kuwa kufanikiwa kibiashara siyo lazima kuwe ndiyo kujua biashara. Mtu kama huyo Musukuma anaweza kuwa amefanikiwa just kwa sababu yuko aggressive kwenye kuhonga!
Nakubali. Ila tuache kudhani kuwa ili mtu kuwa mwalimu mzuri wa kufundisha biashara basi ni lazima ufanye biashara kwa vitendo unafanikiwe.Yote yawezekana.
Biashara ni siri na siri ndiyo mafanikio yenyewe. Kwenye mafanikio huwa kuna rafu nyingi japo kwenye kamera wahusika hawagusii kabisa juu ya hujuma watumiazo/walizotumia kufika walipo.
Hana uelewa kwa sababu hajasoma.Ila kwenye masuala ya kiboashara na uchumi unaweza kukuta msukuma anauelewa mkubwa kuliko hao maprofesa waliowekwa hapo
Kuelewa = Hali ya mtu kuwa na ufahamu wa jambo.Hana uelewa kwa sababu hajasoma.