bongo dot comNaililia elimu ya taifa hili kwa vile imechanganywa na siasa.
SomaHAPA upate full maneno ilivyoanza!
VC wa UD kwa kweli anainajisi taaluma pamoja na wadhifa wake..
VC wa UD kwa kweli anainajisi taaluma pamoja na wadhifa wake.
Huyu bwana ninamfahamu wakati akisoma Azania Secondary mwaka 1966 hadi 1969. Alikuwa Mwenyekiti wa TYL (TANU Youth League) enzi zile Balozi Christopher Liundi alikuwa Katibu Mkuu wa Vijana. Kasoga tangu shule was very controversial ndipo alipojipa jina la Lenin kumuenzi Lenin Muasisi wa Communist Party ya USSR.
He was not a good Chairman. Sisi tuliokuwa wanafunzi pale na wanachama tukamfukuza uanachama kwa kauli moja na makao makuu ya Vijana wakaafiki. Tukachagua Mwenyekiti mwingine.Tangu shule alikuwa anapenda migogoro na kugawa watu anaowaongoza.
His academic performance was not that excellent. I lost touch with him until recently namuona kwenye media eti Dr na Lecturer. Lakini baadae nikaambiwa Phd yake ya Marekani. Sikushangaa.Hayo yaliyomfika siyajui sawa sawa. Lakini mafao kama anastahili kwa nini asilipwe?
Kwani wewe unaona PhD ya marekani ni feki kuliko PhD ya Udsm.? Labda sikukupata vizuri.Naomba natanguliza samahani.
Huyu bwana ninamfahamu wakati akisoma Azania Secondary mwaka 1966 hadi 1969. Alikuwa Mwenyekiti wa TYL (TANU Youth League) enzi zile Balozi Christopher Liundi alikuwa Katibu Mkuu wa Vijana. Kasoga tangu shule was very controversial ndipo alipojipa jina la Lenin kumuenzi Lenin Muasisi wa Communist Party ya USSR.
He was not a good Chairman. Sisi tuliokuwa wanafunzi pale na wanachama tukamfukuza uanachama kwa kauli moja na makao makuu ya Vijana wakaafiki. Tukachagua Mwenyekiti mwingine.Tangu shule alikuwa anapenda migogoro na kugawa watu anaowaongoza.
His academic performance was not that excellent. I lost touch with him until recently namuona kwenye media eti Dr na Lecturer. Lakini baadae nikaambiwa Phd yake ya Marekani. Sikushangaa.Hayo yaliyomfika siyajui sawa sawa. Lakini mafao kama anastahili kwa nini asilipwe?
Tatizo la huyu jamaa ni mwanasiasa wa REDET. Ila kwa upande mwingine kuhusu Kasoga huenda kuna more than kushiriki mgomo. Huyu jamaa alinifundisha part moja ya Microeconomics pale UD kwa kweli sikuwahi kumuelewa hata siku moja alikuwa anafundisha nini japo overall nikuja pata A.
Kama angekuwa anafundisha yeye course nzima basi nafikiri wengi tungerudi Sept Conference. Pia inasemekana alikuwa na sifa ingine ya kupenda ngono kutoka kwa wanafunzi. So lets put all options on the table kuhusu kufukuzwa kwake.

Duh mkuu..sasa wewe mbona ndo unatuogopesha? Kama umekabidhiwa kitengo kama cha kufanya maamuzi ya uchumi..si tutakwenda na maji? Maana kama ulivyosema..hukuwahi kumuelewa mwalimu wako wa somo la uchumi. Duh...bongo jamani.......mwanafunzi anapata A na darasani hakuambulia chochote! (na mind you hapo ni University!)...Safari ni ndefu!