Huyu bwana ninamfahamu wakati akisoma Azania Secondary mwaka 1966 hadi 1969. Alikuwa Mwenyekiti wa TYL (TANU Youth League) enzi zile Balozi Christopher Liundi alikuwa Katibu Mkuu wa Vijana. Kasoga tangu shule was very controversial ndipo alipojipa jina la Lenin kumuenzi Lenin Muasisi wa Communist Party ya USSR.
He was not a good Chairman. Sisi tuliokuwa wanafunzi pale na wanachama tukamfukuza uanachama kwa kauli moja na makao makuu ya Vijana wakaafiki. Tukachagua Mwenyekiti mwingine.Tangu shule alikuwa anapenda migogoro na kugawa watu anaowaongoza.
His academic performance was not that excellent. I lost touch with him until recently namuona kwenye media eti Dr na Lecturer. Lakini baadae nikaambiwa Phd yake ya Marekani. Sikushangaa.Hayo yaliyomfika siyajui sawa sawa. Lakini mafao kama anastahili kwa nini asilipwe?