Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,549
Huyu ndie aliye leta habari zinazo onekana ni za uongo kuhusu Msuva ametupa pressure na furaha ya uongo sijui lengo lake hasa ni nini.
Unaweza kuta hata Rais wa nchi naye alishngilia kuhusu Msuva. Watu kama hawa hawatufai katika jamii.
Naunga mkono aitwe na apelekwe mahakamani kwa uchochezi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kuta hata Rais wa nchi naye alishngilia kuhusu Msuva. Watu kama hawa hawatufai katika jamii.
Naunga mkono aitwe na apelekwe mahakamani kwa uchochezi.
Sent using Jamii Forums mobile app