DR Kiboroha Jonas achukuliwe hatua kama ametudanganya

DR Kiboroha Jonas achukuliwe hatua kama ametudanganya

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
Huyu ndie aliye leta habari zinazo onekana ni za uongo kuhusu Msuva ametupa pressure na furaha ya uongo sijui lengo lake hasa ni nini.

Unaweza kuta hata Rais wa nchi naye alishngilia kuhusu Msuva. Watu kama hawa hawatufai katika jamii.

Naunga mkono aitwe na apelekwe mahakamani kwa uchochezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amedanganya kwamba msuva kasajiliwa.na.benfica na tarehe 15 Jan alitakiwa kuripoti wakati leo msuva amepachika goli matata sana akiwa na timu yake ya moroco difaa el jadida.
20200117_220353.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom