Tabutupu JF-Expert Member Joined Nov 26, 2010 Posts 13,206 Reaction score 18,549 Jan 17, 2020 #1 Huyu ndie aliye leta habari zinazo onekana ni za uongo kuhusu Msuva ametupa pressure na furaha ya uongo sijui lengo lake hasa ni nini. Unaweza kuta hata Rais wa nchi naye alishngilia kuhusu Msuva. Watu kama hawa hawatufai katika jamii. Naunga mkono aitwe na apelekwe mahakamani kwa uchochezi. Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ndie aliye leta habari zinazo onekana ni za uongo kuhusu Msuva ametupa pressure na furaha ya uongo sijui lengo lake hasa ni nini. Unaweza kuta hata Rais wa nchi naye alishngilia kuhusu Msuva. Watu kama hawa hawatufai katika jamii. Naunga mkono aitwe na apelekwe mahakamani kwa uchochezi. Sent using Jamii Forums mobile app
K Kasongo JF-Expert Member Joined Jul 29, 2007 Posts 3,150 Reaction score 2,273 Jan 17, 2020 #2 Eleza vizuri.Uongo upi? Sent using Jamii Forums mobile app
B Bombabomba JF-Expert Member Joined Dec 23, 2017 Posts 1,804 Reaction score 2,128 Jan 17, 2020 #3 Nilichosikia na kuelewa ni kwamba Msunva anaenda Ulaya! Sasa kumbe tumeingizwa Chaka?? Watanzania ni shida Sent using Jamii Forums mobile app
Nilichosikia na kuelewa ni kwamba Msunva anaenda Ulaya! Sasa kumbe tumeingizwa Chaka?? Watanzania ni shida Sent using Jamii Forums mobile app
Tabutupu JF-Expert Member Joined Nov 26, 2010 Posts 13,206 Reaction score 18,549 Jan 17, 2020 Thread starter #4 Amedanganya kwamba msuva kasajiliwa.na.benfica na tarehe 15 Jan alitakiwa kuripoti wakati leo msuva amepachika goli matata sana akiwa na timu yake ya moroco difaa el jadida. Sent using Jamii Forums mobile app
Amedanganya kwamba msuva kasajiliwa.na.benfica na tarehe 15 Jan alitakiwa kuripoti wakati leo msuva amepachika goli matata sana akiwa na timu yake ya moroco difaa el jadida. Sent using Jamii Forums mobile app
mpimamstaafu JF-Expert Member Joined Jul 18, 2018 Posts 4,445 Reaction score 4,707 Jan 17, 2020 #5 Tabutupu, Kwanza ni Dr.wa nini? Wa soka, Wanyama Binadamu Mimea au nini? Sent using Jamii Forums mobile app
Tabutupu, Kwanza ni Dr.wa nini? Wa soka, Wanyama Binadamu Mimea au nini? Sent using Jamii Forums mobile app
Tabutupu JF-Expert Member Joined Nov 26, 2010 Posts 13,206 Reaction score 18,549 Jan 17, 2020 Thread starter #6 Ana PHD (Education) mpimamstaafu said: Kwanza ni Dr.wa nini? Wa soka, Wanyama Binadamu Mimea au nini? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Ana PHD (Education) mpimamstaafu said: Kwanza ni Dr.wa nini? Wa soka, Wanyama Binadamu Mimea au nini? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Prince Kunta JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 22,797 Reaction score 28,904 Jan 18, 2020 #7 Hizo taarifa ni kweli ila wameziwahisha tu kuzitoa Sent using Jamii Forums mobile app