johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Waziri wa mali asili na utalii Dr Kigwangalla amesema wizara yake na wadau wote wa utalii ni lazima wajipange upya kimkakati kwani ugonjwa wa Corona huko China umewafanya washindwe kufikia malengo.
Naye mtendaji mkuu wa Tanapa Dr Kijaxi amesema mapato ya utalii yameshuka baada ya watalii kupungua kutokana na madhira hayo ya Uchina.
Mwenyekiti wa bodi ya Tanapa Jenerali mstaafu Waitara amewataka wadau wasikate tamaa bali wajikite zaidi kwenye masoko mengine pia kama ya Ulaya na Marekani.
Source ITV!