Huyu kwa sasa sio Waziri, labda kwa sababu kipindi hiki hatufuati katiba..
Ukomo wa uwaziri wake unakoma pale tu raisi mpya atakapochaguliwa au wa zamani kuchaguliwa tena kwa mujibu wa katiba.
BAADA YA BUNGE KUVUNJWA, MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI HUENDELEA NA MAJUKUMU YAO?
Kujibu hili Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeeleza kama ifuatavyo katika ibara ya 57 ibara ndogo ya pili kifungu (b) kwamba:
(b) ikiwa mwenye madaraka hayo (ya Uwaziri au Unaibu Waziri) atakoma kuwa Mbunge kwa sababu yoyote isiyohusika na kuvunjwa kwa Bunge;
Hivyo basi kwa mujibu wa Katiba Mawaziri na Manaibu Waziri wataendelea kuwa katika viti vyao licha ya kuvunjwa kwa Bunge na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania isipokuwa kama kuna sababu nyingine tofauti na sababu ya kuvunjwa kwa Bunge.
Wataendelea kushika nafasi hizi mpaka pale Rais Mteule atakapopatikana kufuatia uchaguzi mkuu, hili limeainishwa katika Ibara hiyo ya 57 ibara ndogo ya pili kufungu (f):
(f) ukiwadia wakati wa Rais mteule kushika madaraka ya Rais basi mara tu
hayo; Swali ni je kwa nini Mawaziri na kabla Rais mteule hajashika madaraka Manaibu Waziri waendelee kuwepo kwenye viti vyao ikiwa nao ni wabunge kama wabunge wengine
Jibu ni kwamba, Mawaziri ambao kimsingi ni sehemu Mawaziri kwa nafasi wa Rais katika mas ya kiungozi.Tukumb husaidiwa na manabu wana umuhimu kuend wawasaidie mawaziri h
Ibara ya 54.-(3) ya K ya Muungano wa Tan kama ifuatavyo:
Bila ya kuathiri ma katika ibara ya 37(1) Baraza la Mawaziri l chombo kikuu cha juu ya mambo yote y utekelezaji wa madar mujibu wa masharti y litamsaidia na kums ya jambo lolote lit kwenye Baraza hilo k maagizo maalum au m yatakayotolewa na Rais
Ifahamike pia kuwa kufuata ushauri at mtu yeyote isipokuw inapomtaka kufanya ilivyofafanua ibara ya imegusiwa ndani ya ib ndogo ya tatu.
37.-(1) Mbali na kuz yaliyomo katika Katiba Jamhuri ya Muungano wa kazi na shughuli zak huru na hatalazimika atakaopewa na mtu ye tu pale anapotakiwa na sheria nyingine yoyote lolote kulingana na us na mtu au mamlaka yo
Labda tujiulize, ita labda Rais akatengua u au Naibu Waziri au w katika kipindi ambach limeshavunjwa na w majimboni kutafuta kur
Hili limefafanuliw ya 55.-(5) ya Katiba Muungano wa Tan inasomeka kama ifuata
“Bila ya kujali ma ndogo ya (1) ikitokea anahitajiwa kumteua Waziri baada ya Bunge aweza kumteua mtu alikiwa Mbunge ka kuvunjwa.”
Hivyo basi, mawa waziri wataendelea k vyao licha ya Bunge kuzingatia umuhimu kama washauri wa Ra la Mawaziri ambalo Rais akisaidiwa na Mak Waziri Mkuu. Rejea ib Katiba ambayo inasom
54.-(1) Kutakuwa Mawaziri ambalo w watakuwa ni Makamu Mkuu, Rais wa Zanzib wote.