Dr Kigwangalla amponda Mbowe, asema ni Heri angeteua Jina la Makamu Mwenyekiti na kulipeleka Mkutano mkuu badala ya " Kamtu Kamoja Kugombea"

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Hizo dharau za Dr Kigwangalla huko X dhidi ya Mbowe na Chadema zimenisikitisha

Yaaani kumwita mgombea umakamu Mwenyekiti wa Chadema ni " Kamtu Kamoja"

Hii siyo Sawa

Mlale Unono 🐼
 
Hizo dharau za Dr Kigwangalla huko X dhidi ya Mbowe na Chadema zimenisikitisha

Yaaani kumwita mgombea umakamu Mwenyekiti wa Chadema ni " Kamtu Kamoja"

Hii siyo Sawa

Mlale Unono 🐼
Kigwangalla ana laana ya kumtelekeza Baba yake usichukulie maneno serious.Tayari laana imeanza kumtafuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…