johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hizo dharau za Dr Kigwangalla huko X dhidi ya Mbowe na Chadema zimenisikitisha
Yaaani kumwita mgombea umakamu Mwenyekiti wa Chadema ni " Kamtu Kamoja"
Hii siyo Sawa
Mlale Unono 🐼
Yaaani kumwita mgombea umakamu Mwenyekiti wa Chadema ni " Kamtu Kamoja"
Hii siyo Sawa
Mlale Unono 🐼