Dr. Kikwete na Katiba

Dr. Kikwete na Katiba

Vote-No.jpg
Vote-No.jpg
Vote-No.jpg
Vote-No.jpg

View attachment 235650 View attachment 235651
 
Mheshimiwa Dr. Kikwete,
Mheshimiwa rais, Katiba ni maridhiano- tumefundishwa mashuleni theories za social contract- Social Contract Theories as expounded by Hobbes, Locke and Rousseau and many others. Rejea maandiko hayo!

Naomba niseme tu kuwa katiba hii itaacha mpasuko mkubwa katika jamii ya watanzania. Umoja , ushirikiano vimetikiswa-mpasuko kama alivyotuasa baba wa taifa. Historia itakuwa juu yako. Litafakari upya. Hatuna haja ya haraka kiasi hicho!

Hivi kweli alishavisoma vitabu hivyo jamaa akiwa shuleni? Mbona walimu wake wanasema alikuwa average student mwenye matanuzi kwa sana tu? Hakuwa na muda huo bana msimwonee bure. Muulize mitaa ya New York atakueleza yote. Manhattan, .....sijui nini vile. labda na Oman. Shule inawasaidia wale wanaopenda kuthubutu application of Theories, sio wanaosoma kupata cheti.
 
kwann unasema hivo? Kwani hakuna watanzania tunao ihitaji katiba pendekezwa?

The point is, a great portion of the society is not happy with the writings and vise versa. We need to strike the balance. Maridhiano!
 
nyie inawauma sana kuona katiba hii inayopendekezwa kwamba inaelekea kushinda, jamani tanzania ni yetu sote kuweni wazalendo acheni maneno maneno tena kumtajataja rais kikwete. Kuweni wazelndo kwa nchi yenu.

Suala hapa siyo katiba kupita, ni zaidi ya hapo. Ni suala la kuimarisha umoja na mshikamano wa taifa. Utapata faida gani katiba ikipita huku ikiacha mgawanyiko katika taifa??? Grow up kid! Uzalendo siyo kulazimisha katiba inayowagawa watanzania bali ni kuchukuwa hatua zozote zinazofaa ili kulinda umoja wa taifa.

Rais ni wetu sote hivyo kumtaja sio kosa wala dhambi, muhimu ni kutokumvunjia heshima. Kwenye mambo muhimu usiendekeze ushabiki.
 
suala hapa siyo katiba kupita, ni zaidi ya hapo. Ni suala la kuimarisha umoja na mshikamano wa taifa. Utapata faida gani katiba ikipita huku ikiacha mgawanyiko katika taifa??? Grow up kid! Uzalendo siyo kulazimisha katiba inayowagawa watanzania bali ni kuchukuwa hatua zozote zinazofaa ili kulinda umoja wa taifa.

Rais ni wetu sote hivyo kumtaja sio kosa wala dhambi, muhimu ni kutokumvunjia heshima. Kwenye mambo muhimu usiendekeze ushabiki.

wewe ndo kid usiyejua kuweka hoja zenye akili, sasa nani kakwambia uzalendo ni kuipinga hiyo katiba? We wa wapi wewe? Namashaka na uraia wako.

Hata kama rais wetu sote sasa iweje unamtaja kwa madharau as if ni mjomba ako? We vp wewe? Khaaaaa aibuuu!!
 
Umejiunga jamii forum leo ni siku ya tano , kwa minajiri kutetea maafa mnayotaka kuyaleta. Laana ya m/mungu iwaangukie ninyi na vizazi vyenu
nyie inawauma sana kuona katiba hii inayopendekezwa kwamba inaelekea kushinda, jamani tanzania ni yetu sote kuweni wazalendo acheni maneno maneno tena kumtajataja rais kikwete. Kuweni wazelndo kwa nchi yenu.
 
Eti anataka akumbukwe kwa kuandika katiba mpya. Hamna lolote.Atakumbukwa tu kwa Richmund, Epa, Meremeta, Escrow na ile ya Wachina walivyouziwa Mtwara kumuokoa kijana wetu
 
Back
Top Bottom