Dr. Kimei: kulikoni?

Jf ni mwiba halafu kuna watu mnataka muwe na uwezo wa kufuta thread ili tusijue mimamo yenu.
 
Asante kwa habari, hii lakini ndugu KKN punguza ukali wa maneno. Hii ni tabu kidogo kuyatamka makavu makavu hivi. Ehe!


Wivu wa kike huu! wapelekee waliokutuma hii habari.
 
Hata katika kugombea ubunge wa Vunjo kwa tiketi ya CCM, mimi nasimama na Dr. Kimei
P
 
Ukikubali ukatubu kwa majuto kamili atasamehewa pia na MUNGu kama bill alivyofanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…