Dr Kimei Vs Nsekela: CRDB

Dr Kimei Vs Nsekela: CRDB

Za ndaani kabisa, vitabu vya hesabu vya CRDB haviko vizuri, hizi za ndaani kabisa. Hata uwakilishi wao mahakamani, umekuwa wa kuokoteza, wameacha ku-outsource kutokana na uhaba wa fedha. Hata katika uharaka wa kutoa mkopo wamepunguza, wako kimachale machale hivi.

Halafu Nsekela kakosa ubunifu, benki imepoa, haina products, na haisikiki sana katika media. Ila nasikia anavizia jimbo huko kwao Kagera, na amekopesha BAKWATA kujenga kitega uchumi Bukoba.

Tuombe mungu tu kwenye ajira asijaze wanaopenda maji ya zamzam
Azania ni Benk nzuri sema wakubwa hawajaamua
 
Kimei ni mtu na nusu. Huyu wa sasa ni kama Vasco kakuta kila.kitu kiko kwenye pipeline jiwe alishaanza kuitekeleza yeye anamalizia.

Sidhani kama kimei alimpendekeza Ustaadh ila ustaadh alipendekezwa na jiwe sababu ambazi jiwe anazijua. Jiwe alikuwa anapenda watu wa system wakamate vitengo ili awe na full control na ukiangalia hama hama ya ya ustaadh mabenki lazima ni mtu wa kitengo huko nyuma.

Sema naona hana uwezo kama wa Phd Charles Kimei mzee wa bata. Tatizo la kimei alishindwa kuwazuia wachaga wasijazane crdb.
 
Jiwe alipenda kuweka watu wa system sehemu nyeti.
 
Back
Top Bottom