Dr.Kitila Mkumbo asema ‘Rasimu imechemka umri wa urais’


Jamani katika mjadala huu wa umri, Tusisahau kuwa hadi huyu kijana achaguliwe katika umri wa say miaka 30, ina maana amepita katika mikono salama na jopo la watu wamemkubali ndio maana anapitishwa kugombea. Tusichukulie kama vile miaka 30 basi ni given kuwa rais. Kuna sifa zingine za kumwezesha kuwania urais hata kabla ya hio ya umri.

Kwangu mimi miaka 30 ni sawa tu. huyu mtu atafikaje hadi kufikia kuwania urais bila kuwa amepata exposure na kukomaa kiumri na kisiasa bila ya kuonekana na watu. Watu watamuona na kuridhika KUWA katika umri wake huo, tayari anafaa. Mbona DHAIFU aliambiwa na mding kuwa bado hajakuwa, na miaka kumi baadae si mmeona mambo yake au mtasema alikuwa bado tena.

Miaka 30 ni sawa.
 
Hivi Kwa nini Nyerere hakukutana na vikwazo vya umri wakati anapata fursa ya kuwa rais wa kwanza wa nchi hii?
 

Wewe umenishawishi, kuanzia sasa ninaunga mkono hoja, umri wa kugombe ushushwe mpaka miaka kumi na nane, ama sivyo ni uvunjaji wa haki za binaadamu kumpa mtu haki ya kupigia kura watu wengine na hapo hapo unamnyanganya haki ya yeye kupigiwa kura? now i see the nonesense of the 40 Years syndrome.
 


Thirty-year-old Kabila became president of the DRC (formerly Zaire) in 2001, when his father Laurent-Desire Kabila, who also served as president of the republic, was killed. In October 2006 he became the first democratically elected president under 40.
(
The world)

 
Tume kwa kutaka mgombea binafsi na kuacha umri wa kugombea urais kuwa miaka 40 imejicontradict.

Kimsingi, mwenye haki ya kumpigia kura rais awe na haki ya kupigiwa kura kuwa rais.Kama hana potential ya kuwa rais tumewezaje kumpa haki ya kuchagua rais? Anyang'anywe na hiyo basi tuseme walio na haki ya kumpigia kura rais ni wenye miaka 40 na zaidi tu.

Umri wa kuweza kuwa rais uwe miaka 18.

Which does not mean ni lazima tuwe na rais wa miaka 18.Practically ni vigumu sana kumpata kijana mwenye miaka 18 mwenye experience ya kuwa rais. Lakini hili waachiwe wananchi kuamua, ndiyo maana ya demokrasia.

Katiba inapoanza kuweka wigo wa demokrasia arbitrary inawapora wananchi haki zingine inazotoa. Inatoa haki kwa mkono wa kulia na kuichukua kwa wa kushoto.Why 40 and not 39, 36, 35 or 30 for example? At least 18 is the age of majority.

Kuruhusu vijana zaidi kugombea urais haimaanishi ni lazima wawe marais. Only hatumnyimi haki yake ya kikatiba raia anayefaa.
 

Nafikiri kuna shida katika kusoma maandishi. Nilichosema mie ni Warioba hakusema kweli kwamba hakuna nchi alipochaguliwa rais chini ya miaka 40. Sasa sijui hiyo ingine umeitoa wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…